Tetesi: Chato ukiingia au ukitoka unapimwa Corona big up mkoa wa Geita!

Status
Not open for further replies.
Nipo mkoa wa Kilimanjaro now ni hivyo hivyo ukifika lazma upimwe kama mkoa uliopo hawafanyi hivyo jua kuna watendaji wamelala, mkuu wa mkoa
Wewe nawe you are out of topic au ushakunywa machicha ya Mbege yakakupalia Bwashee [emoji1787][emoji23] umesoma mada ukaielewa unaambiwa chattle iko under lock down na kuna Ventilator zimepelekwa wewe unaongelea mambo ya vipimo Kwan nan asiyejua karibu mikoa yote kuna maeneo maalum ya kupimia na quarantine kwa ajili ya wagonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan huo ubaguzi anayeuleta n nan kama cyo Meko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamhuri ya watu wa chato.....This is stupidity ,,,,,wanalindwa watu wasiona faida yoyote kwa taifa??????
Injii hii tabu sana!
Hakuna kipimo cha corona chato bali joto tu kama zilivyo wilaya zingine.
 
Sio kweli labda kama wana mpango, hakuna lockdown hapa
 
Jamhuri ya watu wa chato.....This is stupidity ,,,,,wanalindwa watu wasiona faida yoyote kwa taifa??????


Mkuu hiyo sio sawa, naomba nipingane na wewe. Raia yeyote wa hili taifa ana umuhimu na heshima yake, hauwezi kusema kuna watu hawana faida kwa taifa.

Kama kyna makosa yanafanyika kutoa huduma, walaumiwe walioko madarakani kwa kushindwa kufanya hivyo kwa watu wote.

Wananchi wa Chato wanakosa gani?
 
Sio kweli labda kama wana mpango, hakuna lockdown hapa

Huyo jamaa kasoma hii post vizuri kweli? Mbona kama haeleweki?

Pia uelewa wa wengi kuhusu hili jambo bado mdogo sana. Mtu kupimwa joto haimaanishi anapimwa Corona,na vile vile kuna watu virusi vinakaa hadi siku 14 hawaonyeshi dalili zozote?

Mleta taarifa kaandika watu wanapimwa wanaoingia na kutoka, sasa kama kuna kuingia na kutoka kuna lockdown hapo?
 
Hujanielewa mkuu ww kaa tu kimya na endelea kuchapa kazi km magufuli
 
Kaka watu wanavibishwa bichwa na faza house ndo maana wanapata kiburi cha kupuyanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamhuri ya watu wa chato.....This is stupidity ,,,,,wanalindwa watu wasiona faida yoyote kwa taifa??????

Mkuu ebu taja faida ulizonazo wewe kwa taifa? Isijekuwa unawadharau watu wa chato kumbe na we ni yale yale tu!
 
Inatakiwa hilo zoezi liwe la nchi nzima, japo wanapima joto!
 
Hujanielewa mkuu ww kaa tu kimya na endelea kuchapa kazi km magufuli

Ikija kwenye usalama wangu hata sisikilizi nani anaongea nini mguu, ni jukumu langu binafsi kuhakikisha nipo salama. Nachapa kazi nikiwa nyumbani nnachohitaji ni simu na laptop yenye internet tu. Huku nikiwa quarantine.

Kama sikukuelewa niwie radhi, ila nilifikiri unawalaumu raia wa Chato.
 
@moderator

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana kaka.....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…