Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Mwasi Kitoko TlaatlaahWenye wazee wa kitengo wanasema jamaa shida sana
Bila video huu nao ni umbea kama umbea mwingineNipo Chato ni nderemo na vifijo hakika leo sio jana
Kwa sura hii tutegemee Mabadiliko makubwa sana katika siasa za Tanzania
Mungu ibariki TANZANIA
Naweka soon ila uwe na gudulia la majiBila video huu nao ni umbea kama umbea mwingine
Kitengo wanamkubali sana Lissu.Wenye wazee wa kitengo wanasema jamaa shida sana
Hao ndo watakaokuwa wakwamishaji wakubwa sana wa Lissu,Wenye wazee wa kitengo wanasema jamaa shida sana
Huku Chato mjadala huo UMESHIKA MOTO"Wachawi wooote wamekufa" - JK
"Wazuri hawafi" - Makamba Snr.
Tunatengeneza Bango kubwa na kulipeleka kila mahala kanda ya Ziwa.
RIP JPM.
Wa wachawi wamekufa?Huku Chato mjadala huo UMESHIKA MOTO
Mwasi Kitoko Lucas Mwashambwa Robert Heriel Mtibeli TlaatlaahHongera sana kwa Mh Lissu. Mungu ni pamoja na wapenda haki siku zote.
Atupe la video hata la sekunde 5 😂Bila video huu nao ni umbea kama umbea mwingine
Emen!!!Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
"Vox populi, vox Dei"
Chato ni NGOME YA CHADEMA long timeNgome yetu ya Chato nayo inasapoti upinzani? Kazi kwelikweli.