CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Itakuwa powa sana."Wachawi wooote wamekufa" - JK
"Wazuri hawafi" - Makamba Snr.
Tunatengeneza Bango kubwa na kulipeleka kila mahala kanda ya Ziwa.
RIP JPM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa powa sana."Wachawi wooote wamekufa" - JK
"Wazuri hawafi" - Makamba Snr.
Tunatengeneza Bango kubwa na kulipeleka kila mahala kanda ya Ziwa.
RIP JPM.
Mguuu sawa!!Tujiandae kwa mapambano
Itakuwa powa sana.
Soon has no definite frame of time. Maji yangu yanapoa banaaa wahii..!!Naweka soon ila uwe na gudulia la maji
Kijana sasa anabubujikwa tuu😂Lucas Mwashambwa Mwasi Kitoko
Nchi imetetemeka Jabali JabaliLissu ni shujaa
Waachawi wote washakufa, yaan sijui lilimtoka tu Mzee wa watu au Mwasi Kitoko ndio alimshinikiza aseme hivyo pale mimi niliposikia amesema hivyo nikashtuka kwani ni masikio yangu au nimesikia vibaya nikaona kaliwekea lamination nikasema kuna sababu sio hivi hivi"Wachawi wooote wamekufa" - JK
"Wazuri hawafi" - Makamba Snr.
Tunatengeneza Bango kubwa na kulipeleka kila mahala kanda ya Ziwa.
RIP JPM.
Soon has no definite frame of time. Maji yangu yanapoa banaaa wahii..!!
🤣🤣🤣Waachawi wote washakufa, yaan sijui lilimtoka tu Mzee wa watu au Mwasi Kitoko ndio alimshinikiza aseme hivyo pale mimi niliposikia amesema hivyo nikashtuka kwani ni masikio yangu au nimesikia vibaya nikaona kaliwekea lamination nikasema kuna sababu sio hivi hivi
Mwasi Kitoko chiembe Mbuzi LIKUDMwaka huu nitafuta kichinjio mapemaaa, kama ilivyokuwa mwaka 2015, na uzuri wake wameshajichanganya wenyewe ndio maana akina Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wanabubujika kwa machozi ya huzuni
Na Primus makasi makasi makasi!!!
🤣🤣Yule mkulu ajifunze kuongea bila kutegemea vyombo vinavyomzunguka ananyolewa kipara bila ya maji .
Mipango si matumizi aliona mbali
Walimpiga risasi 16 kapona wao kivirus kimempeleks shimoni kweli wazuri hawafi"Wachawi wooote wamekufa" - JK
"Wazuri hawafi" - Makamba Snr.
Tunatengeneza Bango kubwa na kulipeleka kila mahala kanda ya Ziwa.
RIP JPM.
Sisiemu watafute chimbo lingine huku Kanda imesandaWalimpiga risasi 16 kapona wao kivirus kimempeleks shimoni kweli wazuri hawafi
Labda waende wilaya ya HaiSisiemu watafute chimbo lingine huku Kanda imesanda
Hata Mpwapwa wamesanda za muhii mbogamboga fc hawana chaoLabda waende wilaya ya Hai
Ni kuunganisha dots hatimaye unapata mstari mnyoofu🤣Hata mimi machale yamenichez