Chato yalipuka kwa shangwe ujio wa Lissu

"Wachawi wooote wamekufa" - JK
"Wazuri hawafi" - Makamba Snr.

Tunatengeneza Bango kubwa na kulipeleka kila mahala kanda ya Ziwa.
RIP JPM.
Kanda ya Ziwa kupata kura huko labda MAKONDA asiwepo CCM
 
Nipo Chato ni nderemo na vifijo hakika leo sio jana

Kwa sura hii tutegemee Mabadiliko makubwa sana katika siasa za Tanzania

Mungu ibariki TANZANIA
kuna kitu katika kampen za uchaguz mkuu akikifanya bwana lissu bhc anashinda kweupee . yeye afunike kombe tu af amtajetaje jpm aaah tulioko huku kwa wapiga kura tunajua kura ziko wapi?
 
Amtaje JPM halafu mkuu wa mkoa wa Arusha atamtaja nani? Tena matusi yake dhidi ya JPM yatatumika sana kumchafua ukanda huo huku jamaa wa Arusha akikomaa kulinda legacy ya mzee
 
Nipo Chato ni nderemo na vifijo hakika leo sio jana

Kwa sura hii tutegemee Mabadiliko makubwa sana katika siasa za Tanzania

Mungu ibariki TANZANIA
Sijawahi kuangushwa na wasukuma jaman hata sio wanafiki kwa kweli, Tundu Lissu nenda wasalimie ndugu zetu tunakuamini sana wewe kuliko waarabu
 
Unaijua Sera yeyote ya Lisu kiuchumi Ili Nchi upige hatua? Nitajie

Mnajaa sana upepo na matarajio hewa.
CCM Wana sera ipi yenye kuifanya nchi iondokane na umaskini, sio wewe uliekuwa unalia na sekta ya kilimo humu ukitolea mfano wa china? uvccm wengi hamjitambui
 
Katika kuhitimisha hoja yangu nilisema juhudi za serikali hazitoshi ,Sasa kama na nyie nyumbu hamja jipya Kuna maana gani ya kuwa Wapinzani?

Sera za CCM nazijua Kila sekta naweza kujiwekea hapa na Baadhi ya Sera za ACT maa a ndio Vyama Huwa vinaongea hoja ,chama chenu zaidi.ya kulalamika na Katiba Mpya na kuponda.serikali hakuna jipya.

Mtu kama mimi.naetaka hoja tofauti na sio sura tofauti unawezaje kunishawishi?
 
Nipo Chato ni nderemo na vifijo hakika leo sio jana

Kwa sura hii tutegemee Mabadiliko makubwa sana katika siasa za Tanzania

Mungu ibariki TANZANIA
20241218_051429.jpg
 
CCM Wana sera ipi yenye kuifanya nchi iondokane na umaskini, sio wewe uliekuwa unalia na sekta ya kilimo humu ukitolea mfano wa china? uvccm wengi hamjitambui
Wamebakiza TOZO NYONYA DAMU
 
Back
Top Bottom