Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
- Thread starter
- #101
Ndo vileeeKhaaa yamefika huku ati nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo vileeeKhaaa yamefika huku ati nini
Hii imeeeendahSafari hii kanda ya ziwa inaangukia mikononi mwa wapinzani..
Wamekuzuia usipwapige picha dunia ikawaona?Nipo Chato ni nderemo na vifijo hakika leo sio jana
Kwa sura hii tutegemee Mabadiliko makubwa sana katika siasa za Tanzania
Ukweli mchungu huuSafari hii kanda ya ziwa inaangukia mikononi mwa wapinzani..
Mkutano unakwenda kupigwa ChatoUkweli mchungu huu
Nirushe uzimie?Wamekuzuia usipwapige picha dunia ikawaona?
Wabheja sana wa mayuGete gete Bhageshi mwala sana!!
Cho!!! NalenzagambaWabheja sana wa mayu
Wenye wazee wa kitengo wanasema jamaa shida sana
Kitengo wanamkubali sana Lissu.
Wanajua nchi chini ya Lissu itapiga hstua kubwa sana ya maendeleo
EmenHongera sana kwa Mh Lissu. Mungu ni pamoja na wapenda haki siku zote.
Ngome yetu ya Chato nayo inasapoti upinzani? Kazi kwelikweli.
Hahaha hapo sijui wa mayuCho!!! Nalenzagamba
AminaNipo Chato ni nderemo na vifijo hakika leo sio jana
Kwa sura hii tutegemee Mabadiliko makubwa sana katika siasa za Tanzania
Mungu ibariki TANZANIA