Chato yalipuka kwa shangwe ujio wa Lissu

Chato yalipuka kwa shangwe ujio wa Lissu

Kikokotoo kijiandae Nyati anakwenda kukisambaratisha....
 
Tulia chali yangu jombaa kunywa kwanza maji ....wenzako wanakikao cha dharura pale Lumumba
Najua huwezi jibu Kwa sababu hata wewe unashangilia kuona sura ya Lisu ila hujui sera yake yeyote.

Huko Chato Samia atakuwa na vingi vya kuonesha Sasa kazi kwenu kuchagua matokeo au sura na porojo.
 
Najua huwezi jibu Kwa sababu hata wewe unashangilia kuona sura ya Lisu ila hujui sera yake yeyote.

Huko Chato Samia atakuwa na vingi vya kuonesha Sasa kazi kwenu kuchagua matokeo au sura na porojo.
Mimi sijabeba mawe wala marungu🤣🤣🤣
 
Waachawi wote washakufa, yaan sijui lilimtoka tu Mzee wa watu au Mwasi Kitoko ndio alimshinikiza aseme hivyo pale mimi niliposikia amesema hivyo nikashtuka kwani ni masikio yangu au nimesikia vibaya nikaona kaliwekea lamination nikasema kuna sababu sio hivi hivi
Huyu kauli zake ni Tata na Tete. Mimi nasubiri maana ya alichokisema.
 
Back
Top Bottom