Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

CAG PROF ASSAD ALISHASEMA 60% YA VIONGOZI WA UMMA HAWANA UWEZO WALA SIFA ZA KUONGOZA MKAMPUUZA. HALI NI HIYOHIYO HATA BUNGE LETU. POOR TANZANIA!
 
Chato ni bab kubwa, yaani unaambiwa hospitali ya Chato Ina hadhi ya juu kuliko Bugando.
Kiwanja Cha mpira kwa mchina Cha mtoto.
Pale Kuna magorofa mengi tu yakiongozwa na MFUGALE TOWER.
Mabenki ndio usiseme
Kwa pembeni Kuna Chato international eapot.
Mitaani magari yanaongozwa na mataa.
Kuna siku nikisikia eti watu wa Chato hawaendi chooni maana sisi wa Dar ndio tunagusana na mavi
 
Ndumbaro kama Ndumbaro yaani !
 
waziri wako kichwa mviringo
 
Kumbe uwe..hu wake hajaanza leo?!
Huyu Ndumbaro ndiyo alihamisha wanyama kutoka mbunga zingine kuwaleta Chato- Burigi. Nasikia sasa hivi hakuna wanyama tena kwenye hilo pori.

Halafu akasema Chato ni Kitovu cha Utalii. Mpuuzi sana huyu Mngoni
 
Dr Ndumbaro, tangazo la kufanya Chato kituo cha utalii liendane na kujenga ofisi kubwa hapo ya Kanda ya ziwa ya TTB/TANAPA kutangaza utalii. Hapo utakuwa umeweka uendelevu wa kivutio hicho. Hili ni muhimu mno.
Kumbe upumbavu ulianza zamani ee?
 
Ndumbalo naye anapuyanga sana
 
Viongozi wetu wengi ponayao madarakani kikubwa ni kujipendekeza kwa rais! Utendaji ni percent ndoogo! Yoote nikutokana na katiba inayomfanya rais kuwa MTAWALA nasio kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…