Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wacha weeee !!Chato ni bab kubwa, yaani unaambiwa hospitali ya Chato Ina hadhi ya juu kuliko Bugando.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha weeee !!Chato ni bab kubwa, yaani unaambiwa hospitali ya Chato Ina hadhi ya juu kuliko Bugando.
Kwi Kwi KwiMbona bibi royal tour hajafika chattle kutangaza utalii
Tena ndiyo kitovu!Mbona bibi royal tour hajafika chattle kutangaza utalii
Magofu CityWacha weeee !!
Kiwanja Cha mpira kwa mchina Cha mtoto.Chato ni bab kubwa, yaani unaambiwa hospitali ya Chato Ina hadhi ya juu kuliko Bugando.
Ngoja tumuulize Mzee wetu MwinyiMrejesho wa kitovu
Kumbe uwe..hu wake hajaanza leo?!Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa
Ndumbaro kama Ndumbaro yaani !Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa
Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia, Uwanja wa Ndege wa Chato utawezesha Watalii kusafiri kwa uhakika na urahisi
Vilevile, Waziri Ndumbaro ameielezea Chato kuwa eneo tulivu, hali ambayo inapendwa na Watalii.
Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa
Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia, Uwanja wa Ndege wa Chato utawezesha Watalii kusafiri kwa uhakika na urahisi
Vilevile, Waziri Ndumbaro ameielezea Chato kuwa eneo tulivu, hali ambayo inapendwa na Watalii.
waziri wako kichwa mviringoWaziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa
Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia, Uwanja wa Ndege wa Chato utawezesha Watalii kusafiri kwa uhakika na urahisi
Vilevile, Waziri Ndumbaro ameielezea Chato kuwa eneo tulivu, hali ambayo inapendwa na Watalii.
Kitovu kisiwe serengei eti kiwe Chato🤣😂🤣Siyo Mara kwenye Serengeti?
Huyu Ndumbaro ndiyo alihamisha wanyama kutoka mbunga zingine kuwaleta Chato- Burigi. Nasikia sasa hivi hakuna wanyama tena kwenye hilo pori.Kumbe uwe..hu wake hajaanza leo?!
Kumbe upumbavu ulianza zamani ee?Dr Ndumbaro, tangazo la kufanya Chato kituo cha utalii liendane na kujenga ofisi kubwa hapo ya Kanda ya ziwa ya TTB/TANAPA kutangaza utalii. Hapo utakuwa umeweka uendelevu wa kivutio hicho. Hili ni muhimu mno.
Ndumbalo naye anapuyanga sanaWaziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa