Chato yazidi kuneemeka; Serikali kujenga Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Ziwa

Vitu vyote hivyo vingeweka ( kujengwa ) kahama .Kahama ingewini sana


Chato Mzee ndio anaikuza aseh

Sent using Jamii Forums mobile app
Chato haiwezi kukua,bora yeye angejikita kuwajengea shule na kuwatafutia kazi za upendeleo zile nono kama huko TRA na bandarini,ila hayo madude ya majengo atafurahi mwenyewe akitoka madarakani yatakavyochakaa,hawaamini,jamaa huyu akili zake
 
TANAPA nao wanapeleka simba 20 burigi national park sasa sijui watakula nyasi kule
 
Chato haiwezi kukua,bora yeye angejikita kuwajengea shule na kuwatafutia kazi za upendeleo zile nono kama huko TRA na bandarini,ila hayo madude ya majengo atafurahi mwenyewe akitoka madarakani yatakavyochakaa,hawaamini,jamaa huyu akili zake
Chato inaenda kuwa mkoa wa Rubondo, na chato itakuwa makao makuu ya mkoa mpya wa Rubondo, so hiyo economic and social infrastructure itabaki kuwa relevant hata akiondoka. Sababu mkoa ni tofauti na kijiji
 
Waliozembea kina che nkapa tuu..


Che nkapa unaona mwezio huyooo we ulijenga daraja tuuu
 
Chato inaenda kuwa mkoa wa Rubondo, na chato itakuwa makao makuu ya mkoa mpya wa Rubondo, so hiyo economic and social infrastructure itabaki kuwa relevant hata akiondoka. Sababu mkoa ni tofauti na kijiji
Hata akifanya mkoa,kwanza atakuwa ni mpuuzi,na pili Chato hapataweza kuendelea,angesomesha watu na kuwawezesha kiuchumi kwanza,pale watu wana umaskini wa kutisha,na nimiongoni mwa maeneo yanayosababisha watu wa kaskazini watucheke sisi watu wa kanda ya Ziwa,upuuzi mkubwa kabisa,
 
Hospitali ya Rufaa inajengwa wilayani! Kwa mkakati huu ni wazi mambo mawili yatokea; ama makao makuu ya mkoa wa Geita yatahamia Chato, au utaundwa mkoa mpya ambao makao makuu yatakuwa Chato. Nilipoamka nikajua kuwa nilikuwa ndotoni.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mbona mmechelewa sana ? Miaka 50 sasa ndio mnafikiria kujenga? Tumepiteza mamilioni ya watu na wengine kuwa vilema vya maisha kwa kukosekana huduma za karibu na uhakika.

Ni wakati ccm iyondoke madarakani, na tuwsfungilie mbali, mmetupa umasikini wa kutupa, nyerere alipo pata urais tu kauwa viwanda vyote tanga, kawafilisi matajiri na kuchukua mali zao.

Ile dhambi inaendelea hadi sasa na imekuwa censer kwa ccm na utawala wake.

Mnasema watu wasio julikana hamuwajui, lakini hatusikii kitekwa kiongozi wa ccm au kuuliwa au kupotea kimatata.
 
Kwani Mloganzila iko Singida au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pataachaje kuendelea pakiwa mkoa? Hivi ushawahi fika Bariadi kabla na baada ya kuwa mkoa? Kama ushawahi fika Bariadi nenda sasa hivi ukaone maendeleo ya pale
 
Hospitali ya rufaa, tena ya serikali inajengwa wilayani! Yaani mji wa Chato? Chato kunani?

Chato 'International ' Airport, Chato International stadium, Chato Referal Hospital, Chato TRA 'Regional ' office! Baada ya miaka 5, Chato ndio utakuwa mji mkubwa na wa kisasa zaidi katika Kanda ya Ziwa.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunasubiri Zitto awe mkulu tupate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…