Chato yazidi kuneemeka; Serikali kujenga Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Ziwa

Chato inabadilika sio ya zamani
Chato haiwezi kukua,bora yeye angejikita kuwajengea shule na kuwatafutia kazi za upendeleo zile nono kama huko TRA na bandarini,ila hayo madude ya majengo atafurahi mwenyewe akitoka madarakani yatakavyochakaa,hawaamini,jamaa huyu akili zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wanyantuzu wapo tofauti na magu? Sikujua hili!
 
Nani kakwambia chato hakuna wasomi?, nani kakwambia watu wa chato ni maskini wakutupwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kijografia chato ipo katikati ya mikoa ya kanda ya ziwa kwa hiyo acha ipendelewe
 
nyerere huyu aliyeua viwanda na viwanda maeneo mbalimbali ya taifa hili?
Duuh haya umeandika wewe au ni typing error?
Aliowanyanganya kwa kisingizio cha uhujumu uchumi ndio hao hao wameshikilia uchumi, hivyo inaonyesha dhahiri shahiri zilikuwa mali halali na wanajua jinsi ya kutafuta.
Wewe kijana una kiwango gani cha elimu?
Tuanzie hapo kwanza! Utanisamehe kwa kauli hii.

Maana sioni tofauti ya nationalization ya Nyerere na sheria mpya inayo husu rasilimali za nchi kama gesi na madini ya Magufuli kwa ushauri wa akina Prof. Kabudi. Ambayo mimi naiunga mkono japo italeta misuguano sana na hao ulio wasema wameshikilia uchumi.
Mfano hai wa msuguano ni kusudio la kampuni ya madini ya Canada inayofanya shughuli zake nchini kuishitaki serikali ya JMTZ.

Inaweza kuwa nabishana na mtu ambae sikustahili kufanya nae mjadala kama huu!!
 
[emoji44][emoji44][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji15][emoji44]
kuna kijiji huko chato kinaitwa kibehe kuna mtu kafika jana kulikuwa na gulio anasema kati ya wanawake kumi aliokutana nao 7 ni wajawazito hatutashangaa siku tukisikia ameitisha referendum kutaka chato kujitenga iwe nchi

Jr[emoji769]
 
Chato ni Tanzania nao wanahaki ya kuifaidi cake ya Taifa kama Moshi na Arusha. Lake zone imebeba population kubwa sana ambayo inahitaji huduma za Afya kwa karibu..Hongera awamu ya Tano kwa kuliona hili, Hongera chama cha wanyonge kwa kusimamia ilani... CCM oyee, kidumu chama cha mapinduzi..
 
University of Würzburg (Faculty of Arts; Historical, Philological, Cultural and Geographical Studies) DROP DOWN
Kampala University (Faculty of Computer Science and Mixed Art's) DROP DOWN

Usijitoe ufahamu! Majengo ya NHC kwa asilimia 75% Walinyanganywa wafanyabiashara wa Tanzania siyo hao watu kuja.

Mashamba na viwanja viliwekwa chini ya CCM.

Usijitoe ufahamu twende hoja kwa hoja.
 
Yani ww jamaa akili zako ni hovyo sana! Kwa hiyo katika watu wote humu wewe ndio unayejua umuhimu wa hiyo hospitali kwenda chato kuliko wengine wote.
Acha kutafuta sababu za kipumbavu ku justfy ujinga,ni bora ukae kimya watu wasijue ujinga wako.
 
Nationalization ya wakati wa Nyerere ilikuwa zaidi ya nyumba za watu binafsi.
Mkuu fuatilia tu kisha uje tujadili, mimi nipo nakusubiria mkuu.
 
Yani ww jamaa akili zako ni hovyo sana! Kwa hiyo katika watu wote humu wewe ndio unayejua umuhimu wa hiyo hospitali kwenda chato kuliko wengine wote.
Acha kutafuta sababu za kipumbavu ku justfy ujinga,ni bora ukae kimya watu wasijue ujinga wako.
Akili za hovyo sana! Upimwa kwa nini?
Ujinga upimwa kwa nini?

Mbona mimi naona hata wewe ni hovyo sana? Mbona naona ujinga ndani mwako?
 
Nationalization ya wakati wa Nyerere ilikuwa zaidi ya nyumba za watu binafsi.
Mkuu fuatilia tu kisha uje tujadili, mimi nipo nakusubiria mkuu.
Nipo hapa kujifunza na kuelimishana! Kama hutojali nipatie jawabu, Asante.
 
Nyerere alijenga Airport ya Musoma kwa ajili ya kufacilitate watalii kwenye mbuga ya serengeti,au hujui kuwa 3/4 ya mbuga ya serengeti ipo Mkoa wa mara na ni rahisi kwenda Serengeti kupitia Musoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…