Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Ndio basi tena... Chato kawapiga baoVitu vyote hivyo vingeweka ( kujengwa ) kahama .Kahama ingewini sana
Chato Mzee ndio anaikuza aseh
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio basi tena... Chato kawapiga baoVitu vyote hivyo vingeweka ( kujengwa ) kahama .Kahama ingewini sana
Chato Mzee ndio anaikuza aseh
Sent using Jamii Forums mobile app
.... kuna watanzania na watanzania zaidi ya watanzania!Wataalam wa mambo wana msemo wao wanakwambia "huko napo si kuna watanzania??"
... Serukamba atakuwa amefurahia Tanzania kupata hospitali nyingine ya rufaa nadhani; ni furaha ya watanzania wote.Hicho kicheko Cha Serukamba kimehashiria furaha au dhereu kwa Mh.Ummy? Tuanzie hapo
Nilisikia Chato ndo ya pili kanda ya ziwa.... Ummy naye kashindwa kujenga hoja vizuri. Kama Kanda ya Ziwa ina "wagonjwa" wengi kuliko maeneo mengine kwanini Chato? Au Chato ni center ya kanda ile? Kwanini sio Kahama, au miji mingine mikubwa kama Shinyanga?
... ya pili kwa kitu gani?Nilisikia Chato ndo ya pili kanda ya ziwa.
Tunaendeleza kicheko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baada ya Waziri Ummy kueleza hayo, baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo inayoongozwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba walicheka.
Hakuna cha ubaba! Taifa umaskini chanzo ni yeye. Magufuli ndiyo ananyoosha hii sasa.Wacha Nyerere aitwe baba wa Taifa.
Ingawa nahisi watu wa 'Butihama' karibuni wataanza kumlaumu kwa kutotumia fursa.
Mzee Mwinyi na Kikwete mlikwama wapi mbona Mkoa wa Pwani haukupata mavitu makubwa haraka?
Hadi leo hakuna mataa ya kuongozea magari kama 'Chattle'
Fine kama kalipokea kwa kicheko isijekuwa kicheko Cha kebehi... Serukamba atakuwa amefurahia Tanzania kupata hospitali nyingine ya rufaa nadhani; ni furaha ya watanzania wote.
Kijiografia Chato ni katikati ya Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Kagera na Simuyu.... ya pili kwa kitu gani?
Sawa mkuu.Hakuna cha ubaba! Taifa umaskini chanzo ni yeye. Magufuli ndiyo ananyoosha hii sasa.
Pwani ipi? Au hujui viwanda takribani 73 vimejengwa enzi za Kikwete?! Mloganzila kwanini haikupelekwa Iringa?!
Tuwe wakweli zama za Umwinyi na Umangi kwisha habari yake. U-Daslam utapotea ili taifa lisonge.
Haiwezekani mtu Kigoma na Kagera yupo mahtuti mpaka afike Daslam kwa tiba! Haiwezekani, Daslam ni kipande kidogo sana kwa Tanzania.
Maendeleo endelevu ya Tanzania
Na bila shaka kanda ya ziwa, chato ndo ina population ndogo ya watu... Ummy naye kashindwa kujenga hoja vizuri. Kama Kanda ya Ziwa ina "wagonjwa" wengi kuliko maeneo mengine kwanini Chato? Au Chato ni center ya kanda ile? Kwanini sio Kahama, au miji mingine mikubwa kama Shinyanga?
Vipi Geita au shinyanga? Au kahama?Sawa mkuu.
Lakini Mwanza ndio kati na hufikika kirahisi kutoka maeneo ya wilaya na mikoa jirani.
Mwanza tayari kuna Buganda na Sokou Toure sijui?
... kwa hiyo ni kanuni siku hizi kwamba huduma muhimu za kijamii - hospitali, vyuo, n.k. sharti viwe katikati? Kwamba "pembezoni" hawana chao?Kijiografia Chato ni katikati ya Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Kagera na Simuyu.
... kuna hoja kwamba sababu kuu ni Chato kuwa katikati ya Kanda ya Ziwa japo ina walakini.Na bila shaka kanda ya ziwa, chato ndo ina population ndogo ya watu
Mara, Simuyu, Kahama na Shinyanga wajisogeze Bugando na Sekou Toure!Sawa mkuu.
Lakini Mwanza ndio kati na hufikika kirahisi kutoka maeneo ya wilaya na mikoa jirani.
Mwanza tayari kuna Buganda na Sokou Toure sijui?