Chato yazidi kuneemeka; Serikali kujenga Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Ziwa

Hicho kicheko Cha Serukamba kimehashiria furaha au dhereu kwa Mh.Ummy? Tuanzie hapo
 
Hicho kicheko Cha Serukamba kimehashiria furaha au dhereu kwa Mh.Ummy? Tuanzie hapo
... Serukamba atakuwa amefurahia Tanzania kupata hospitali nyingine ya rufaa nadhani; ni furaha ya watanzania wote.
 
Hakuna cha ubaba! Taifa umaskini chanzo ni yeye. Magufuli ndiyo ananyoosha hii sasa.

Pwani ipi? Au hujui viwanda takribani 73 vimejengwa enzi za Kikwete?! Mloganzila kwanini haikupelekwa Iringa?!

Tuwe wakweli zama za Umwinyi na Umangi kwisha habari yake. U-Daslam utapotea ili taifa lisonge.

Haiwezekani mtu Kigoma na Kagera yupo mahtuti mpaka afike Daslam kwa tiba! Haiwezekani, Daslam ni kipande kidogo sana kwa Tanzania.

Maendeleo endelevu ya Tanzania
 
Haki ya Mungu nitavibomoa nikiwa rais, potelea mbali! 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
... Serukamba atakuwa amefurahia Tanzania kupata hospitali nyingine ya rufaa nadhani; ni furaha ya watanzania wote.
Fine kama kalipokea kwa kicheko isijekuwa kicheko Cha kebehi
 
Sawa mkuu.
Lakini Mwanza ndio katikati na hufikika kirahisi kutoka maeneo ya wilaya na mikoa jirani.
Mwanza tayari kuna Bugando na Sokou Toure sijui?

Kwanini zisihimarishwe hizo au isijengwe mpya Mwanza?

Ila mimi sio adui ni mtu ninae litakia mema taifa na kiongozi wetu mpendwa.
Mtu mzuri ni yule anaye kukumbusha na kukuambia ukweli unapokuwa unakosea jambo.
Mwambieni ukweli huyo waziri alie peleka wazo la kupeleka Hospital hiyo Chattle kwamba anakosea pakubwa.
 
... Ummy naye kashindwa kujenga hoja vizuri. Kama Kanda ya Ziwa ina "wagonjwa" wengi kuliko maeneo mengine kwanini Chato? Au Chato ni center ya kanda ile? Kwanini sio Kahama, au miji mingine mikubwa kama Shinyanga?
Na bila shaka kanda ya ziwa, chato ndo ina population ndogo ya watu
 
Sawa mkuu.
Lakini Mwanza ndio kati na hufikika kirahisi kutoka maeneo ya wilaya na mikoa jirani.
Mwanza tayari kuna Buganda na Sokou Toure sijui?
Vipi Geita au shinyanga? Au kahama?
 
Na bila shaka kanda ya ziwa, chato ndo ina population ndogo ya watu
... kuna hoja kwamba sababu kuu ni Chato kuwa katikati ya Kanda ya Ziwa japo ina walakini.
 
Sawa mkuu.
Lakini Mwanza ndio kati na hufikika kirahisi kutoka maeneo ya wilaya na mikoa jirani.
Mwanza tayari kuna Buganda na Sokou Toure sijui?
Mara, Simuyu, Kahama na Shinyanga wajisogeze Bugando na Sekou Toure!

Bukoba, Ujiji, Kigoma, Biharamulo wajisogeze Chato.

Toka Muingeleza ameondoka watu wa Kigoma na Kagera kila kitu mpaka wakifuate Daslam, Haiwezekani! Kabisa

Akimaliza hospitali aweke Chuo Cha Kimataifa Nyanza University.
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…