Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana.

Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni tu mtakutana nae.

Ushauri wangu kama GENTAMYCINE kwa taasisi zote kuu mbili nyeti nchini Tanzania ni kwamba kwakuwa mji unakuwa na watu wanahamia maemeo yaliyokuwa ni maalum kwa mafunzo yao (Maporini/Misituni) basi ikiwapendeza wawe wanahamishia hayo mapori mafunzo yao maeneo ya mbali zaidi ili viumbe hatari kama huyu chatu (joka kubwa) wasiwe hatarishi kwa wananchi / wakazi.
 
Msiwe na mnabisha Kila kitu hivi unaifahamu chatu shughuli yake akikuotea
Mpumbavu kama huyo na Wenzake baadhi unaowaona hapa ( Waliochangia ) waelewe nini Mkuu?

Wewe ndiyo uliyeuelewa vyema huu Uzi na Kuchangia Kiumakini na kwa tahadhari Kubwa ya huyo Chatu ambayo GENTAMYCINE nimeitoa / nimeileta hapa JamiiForums kwa nia njema tu ili nisaidie na niokoe Wengine wasije Kudhurika nae.
 
Ila wavulana wa Dar mnachekesha. Unaogopa chatu kweli? Asante mama kwa bandari, vijana wako hawana ujasiri wa kukabiliana na chatu, hawataweza mikiki mikiki ya bandari hawa.
Watu wa Dar ni kutumia akili na siyo nguvu. Wamikoani kila siku ndoto zao ni kuja Dar wakati wa Dar ndoto zao ni kwenda mbele. Nyie wa mikoani njooni mumue huyo Chatu sisi tutakuwa tunawaongoza kwenye jambo lenye kuhitaji akili
 
Mpumbavu kama huyo na Wenzake baadhi unaowaona hapa ( Waliochangia ) waelewe nini Mkuu?

Wewe ndiyo uliyeuelewa vyema huu Uzi na Kuchangia Kiumakini na kwa tahadhari Kubwa ya huyo Chatu ambayo GENTAMYCINE nimeitoa / nimeileta hapa JamiiForums kwa nia njema tu ili nisaidie na niokoe Wengine wasije Kudhurika nae.
Na nikweli umejitofautisha Sana ,anasema umwue

Hajui ,kwamba huna kibali Wala mamlaka yakuua chatu ,na ndomana umetoa taarifa mamlaka husika zichangamke ziwinde

Umetoa hadi muda linapopita chatu hilo ,yeye hajaelewa mana Yako ,pamoja na bunduki Yako na

Bastola ,hujataka hayo

Katokea Kijijini ,huko basi anakuja na mambo ya bush bush
 
Na nikweli umejitofautisha Sana ,anasema umwue

Hajui ,kwamba huna kibali Wala mamlaka yakuua chatu ,na ndomana umetoa taarifa mamlaka husika zichangamke ...
GENTAMYCINE huwa naeleweka na Werevu wachache sana ( nawe ukiwemo ) hapa JamiiForums ila sieleweki na nachukiwa na Wapumbavu ( Fools ) wengi kama huyo.
 
Duuh hii issue niliwahi ambiwa na dereva mmoja wa bodaboda mtaa wa Mbweni nikahisi ni uongo, yeye alisema alikuwepo zamani ila siku hizi hawamuoni tena na hata mimi pamoja na kupita mida hiyo mara nyingi pia sijawahi muona, lakini hata kama bado yupo sidhani kama dereva aliye timamu atajaribu kumkanyaga badala ya kumuacha apite kwanza
 
Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana.

Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni tu mtakutana nae.

Ushauri wangu kama GENTAMYCINE kwa taasisi zote kuu mbili nyeti nchini Tanzania ni kwamba kwakuwa mji unakuwa na watu wanahamia maemeo yaliyokuwa ni maalum kwa mafunzo yao (Maporini/Misituni) basi ikiwapendeza wawe wanahamishia hayo mapori mafunzo yao maeneo ya mbali zaidi ili viumbe hatari kama huyu chatu (joka kubwa) wasiwe hatarishi kwa wananchi / wakazi.
Wafanye mpango kama vipi wale jamaa wa Maliasili waje wamchukue na wamuhamishe maeneo hayo maana kuna shughuli nyingi za kiraia maeneo hayo tangu kuwepo na bandari bubu maeneo yale.
Na bila shaka atakuwa anatokea kwenye ule msitu wa wavunja matofali unaopakana na hicho chuo
 
Duuh hii issue niliwahi ambiwa na dereva mmoja wa bodaboda mtaa wa mbweni nikahisi ni uongo, yeye alisema alikuwepo zamani ila siku hizi hawamuoni tena na hata mimi pamoja na kupita mida hiyo mara nyingi pia sijawahi muona, lakini hata kama bado yupo sidhani kama dereva aliye timamu atajaribu kumkanyaga badala ya kumuacha apite kwanza
Lile pori upande mmoja umerekebishwa vzr tu
 
Wafanye mpango kama vipi wale jamaa wa Maliasili waje wamchukue na wamuhamishe maeneo hayo maana kuna shughuli nyingi za kiraia maeneo hayo tangu kuwepo na bandari bubu maeneo yale.
Na bila shaka atakuwa anatokea kwenye ule msitu wa wavunja matofali unaopakana na hicho chuo
Ok
 
Acha hadithi wewe angeshagongwa huyo kwa jinsi barabara hiyo ilivyo bize
 
Back
Top Bottom