Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani kikuu Tanzania muda wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF.

Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .

Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF .

Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na ALFA na OMEGA.

Sisi kama wanamabadiliko tunaonya vikali na mbinu zozote ovu, kwa Wangombea wengine, tutaambatana nao popote watakapo kwenda kama hawataridhishwa na mchakato mzima wa uchaguzi.

Pendekezo langu ni chama cha CHAUMA sio vyama vingine vilivyobakia.

Plan B ni muhim .
Thanks
 
Andiko langu litakua fupi sana , ni imani yangu hamjambo wana jf.

Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .

Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF .

Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na ALFA na OMEGA.

Sisi kama wanamabadiliko tunaonya vikali na mbinu zozote ovu, kwa Wangombea wengine, tutaambatana nao popote watakapo kwenda kama hawataridhishwa na mchakato mzima wa uchaguzi.

Pendekezo langu ni chama cha CHAUMA sio vyama vingine vilivyobakia.

Plan B ni muhim .
Thanks
Hapo mwenyekiti atakuwa kasepa bila shaka.
 
Kinachokusumbuwa ni chuki zako dhidi ya ACT, any way wajumbe wampe Lisu tuanze upya
 
Chuki na ACT imetoka wapi mkuu, kwenda ACT au CCM unakua umekimbia nini na kukwepa nini , CHAUMA ni chama sawa kidogo ,lakini angalau Mwenyekiti wake hua anaonesha utofauti na wenyeviti wengine wa vyama vidogo .
 
Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF.

Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .

Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF .

Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na ALFA na OMEGA.

Sisi kama wanamabadiliko tunaonya vikali na mbinu zozote ovu, kwa Wangombea wengine, tutaambatana nao popote watakapo kwenda kama hawataridhishwa na mchakato mzima wa uchaguzi.

Pendekezo langu ni chama cha CHAUMA sio vyama vingine vilivyobakia.

Plan B ni muhim .
Thanks
CHAUMA ni chama makini sana, sema watanzania kwenye mizaha wanapochukulia serious halafu palipo serious wao wanapaangalia kimizaha.
 
Hiki ndio chama wakijiandika humu wanaenda kujisajiri, mara wakazuiwa.

Cha akina nani?

Waje humu wapate wa kufanya nao kazi haswa Chadema wa humu wanatafuta pa kwenda 😂😂😀
 
CHAUMA ni chama makini sana, sema watanzania kwenye mizaha wanapochukulia serious halafu palipo serious wao wanapaangalia kimizaha.
Hupo sahii mkuu, kile ni chama kikipata booster ya kimbunga ,tunaongea mengine,
 
Back
Top Bottom