4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF.
Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .
Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF .
Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na ALFA na OMEGA.
Sisi kama wanamabadiliko tunaonya vikali na mbinu zozote ovu, kwa Wangombea wengine, tutaambatana nao popote watakapo kwenda kama hawataridhishwa na mchakato mzima wa uchaguzi.
Pendekezo langu ni chama cha CHAUMA sio vyama vingine vilivyobakia.
Plan B ni muhim .
Thanks