4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kwa nini ? Kila mtu ni kichaa level ndo zinatofautianaChaDema kila siku vichaa wanaongezeka sijui kwa nini?
Hujui DuniaWaondoke, habembelezwi mtu.
Hapo mwenyekiti atakuwa kasepa bila shaka.Andiko langu litakua fupi sana , ni imani yangu hamjambo wana jf.
Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .
Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF .
Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na ALFA na OMEGA.
Sisi kama wanamabadiliko tunaonya vikali na mbinu zozote ovu, kwa Wangombea wengine, tutaambatana nao popote watakapo kwenda kama hawataridhishwa na mchakato mzima wa uchaguzi.
Pendekezo langu ni chama cha CHAUMA sio vyama vingine vilivyobakia.
Plan B ni muhim .
Thanks
Wewe ni kichaa level gani kwanza??Kwa nini ? Kila mtu ni kichaa level ndo zinatofautiana
ccm tumtetee mwanetu Mboweπ€£Waondoke, habembelezwi mtu.
Watanganyika ktk siasa za upinzani usiwaamini, wakipewa vijensti tu tofauti na zanzibarWaondoke, habembelezwi mtu.
Hatishwi mtu apa ,nimetoa mwelekeo ambavyo unaweza kwenda endapo , uchaguzi patafanyika mizengweKwa hiyo mnawatisha timu FAM
Chuki na ACT imetoka wapi mkuu, kwenda ACT au CCM unakua umekimbia nini na kukwepa nini , CHAUMA ni chama sawa kidogo ,lakini angalau Mwenyekiti wake hua anaonesha utofauti na wenyeviti wengine wa vyama vidogo .Kinachokusumbuwa ni chuki zako dhidi ya ACT, any way wajumbe wampe Lisu tuanze upya
CHAUMA ni chama makini sana, sema watanzania kwenye mizaha wanapochukulia serious halafu palipo serious wao wanapaangalia kimizaha.Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF.
Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .
Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF .
Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na ALFA na OMEGA.
Sisi kama wanamabadiliko tunaonya vikali na mbinu zozote ovu, kwa Wangombea wengine, tutaambatana nao popote watakapo kwenda kama hawataridhishwa na mchakato mzima wa uchaguzi.
Pendekezo langu ni chama cha CHAUMA sio vyama vingine vilivyobakia.
Plan B ni muhim .
Thanks
Watu wenye misimamo huzaliwa , Zanzibar wapo wenye misimamo na wapo ambao ni walewaleWatanganyika ktk siasa za upinzani usiwaamini, wakipewa vijensti tu tofauti na zanzibar
Hupo sahii mkuu, kile ni chama kikipata booster ya kimbunga ,tunaongea mengine,CHAUMA ni chama makini sana, sema watanzania kwenye mizaha wanapochukulia serious halafu palipo serious wao wanapaangalia kimizaha.
Bongo nani?Watu wenye misimamo huzaliwa , Zanzibar wapo wenye misimamo na wapo ambao ni walewale
Bongo nani?Watu wenye misimamo huzaliwa , Zanzibar wapo wenye misimamo na wapo ambao ni walewale