PreGE2025 CHAUMMA kitapata wabunge wengi Bara kuliko vyama vingine vya upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
 
Hizi bhangi mnavutishwa kwa lazimaa... au mnavuta kwa hiari yenu?

Chauma nani anakijua hicho chama?

Chama kinachojulikana Dasalam peke yake kiwe na wabunge wengi?

Kama ni wa kupewa na 100 hapo sawa
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Kwa uchaguzi upi 🙄? Hakuna uchaguzi wowote 2025 huo ndiyo ukweli .. bora useme watagawiwa ubunge .
 
Chama ambacho kilitazamiwa kuwa kikuu cha upinzani act wazalendo waliweka wagombea nnchi nzima lakini aliepata ubunge ni zito pekeake
 
Kawaida ya mchinjaji, hataki kumuona mwingine akichinja...😜
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.

Do you think hao ambao watatolewa watakubali kuachia ubunge just because chauma wapewe?

Unawajua ccm vizuri kweli?

Yan mfano nape aambiwe tulia pembeni jimbo lako tumpe mtu wa chauma kuweka balance haha

Hiyo ni ndoto tu

Chauma watatumika then wanatupwa mbali huko mpaka 2030
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Yaani kenge wa CCM waache nafasi zao za, ulaji wa, ununge, wawape chaumma!
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Sio kwa Fisiem waliopo, wenyewe wanatoana macho na huo ubunge, watakubali? Hawa Chaumma wao watatumika kuonyesha kuwa uchaguzi uko sawa, na wataishia kupata ka ruzuku na mbunge mmoja na wabunge wa viti maalum kadhaa. Mwisho utakuwa hapo, na baada ya hapo watavurugana wenyewe kwa wenyewe.. wageni kwa wenyeji.. mark hii comment leo 23/05/2025.
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Sidhani kama watapata hata jimbo moja.Mama akijaribu kuwapa majimbo wana CCM tutampinga kwa vitendo.
 
Chairman ndio mtu atakayekibeba na kukiuza mtaani, otherwise wengi waliohamia toka Chadema hawana ushawishi kwa wananchi.
 
CHAUMMA watapewa wabunge 10-15. Watapewa 5% ya kura za urais, ili waanze kupata ruzuku. Biashara hii imefanikishwa na X Chairman Freeman Mbowe. Yeye atabaki kimya na atakuwa ni m1 wa wanufaika wa pesa za ruzuku za CHAUMMA. Japo atabaki Chadema.
Nasisitiza watapewa na hawatachaguliwa.
 
Kivyovyote vile lakini kitakuwa na wabunge wengi. Mama ni mwanademokrasia na huu utakuwa mhura wake wa mwisho. Hapendi kuondoka kwa kuchafuka. Lissu alikuwa na haraka tu lakini mama alimaanisha zile 4Rs Zake. Sema tu pesa za wazungu zinahitaji urudishe (retirement) kwa wakati.
Hizi bhangi mnavutishwa kwa lazimaa... au mnavuta kwa hiari yenu?

Chauma nani anakijua hicho chama?

Chama kinachojulikana Dasalam peke yake kiwe na wabunge wengi?

Kama ni wa kupewa na 100 hapo
 
Kwa uchaguzi upi 🙄? Hakuna uchaguzi wowote 2025 huo ndiyo ukweli .. bora useme watagawiwa ubunge .
Nakuhakikishia kuwa Tanzania hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike. Mama mkanye mwanao.
 
Ndugu yangu mko wanapita na mko na nani kuweza kuzuia wananchi wasiende kuchagua? Tuache bhangi.
Kwa uchaguzi upi 🙄? Hakuna uchaguzi wowote 2025 huo ndiyo ukweli .. bora useme watagawiwa ubunge .
 
  • Thanks
Reactions: bCg
Back
Top Bottom