Hawana msaada wowote zaidi zaidi kutuongezea gharama za maisha walipa kodi,kama ilivyokuwa kwa Covid-19.Halafu hao wabunge watatusaidia nini sisi watanzania?
Hawana msaada wowote zaidi zaidi kutuongezea gharama za maisha walipa kodi,kama ilivyokuwa kwa Covid-19.Halafu hao wabunge watatusaidia nini sisi watanzania?
Vyama shikizi vya ccm ndio mmeviaminisha kuwa wao nafasi yao ni ubunge na udiwani tu, ila urais ni wa ccm. Ujinga huo uliokuwa unailinda ccm ndio cdm wamejitoa muhanga sasa kwa kutosaini kanuni za kuibeba ccm. Na kwa hakika wananchi tumewaelewa sana cdm kwenye msimamo huu. Tunataka vyama vyote viingie kama washindani, na kura za wananchi ziheshimiwe, halafu ulete mrejesho hapa.Vyovyote vile, kaka sababu na zawadi kubwa ya pekee ya watu kujiunga na upinzani ni kupata nafasi ya kugombea udiwani na ubunge na kuteuliwa ubunge wa viti maalumu, nothing more nothing less. Ukiwaambia hakuna kushiriki uchaguzi hakuna rangi ambayo hawatakuonyesha. Ubunge na udiwani ndio leverage kuwa mpinzani, kwakuwa wanajua hawawezi kushinda urais.
Atakuwa amechaguliwa au Tanzania itakuwa sasa ni kingdom?Uchaguzi ukisitishwa Samia atakuwa Rais wa muyaya. Mungu ampe nini!!!
Unakosea au hujui tu. Kama COVID 19 wasingekuwepo nafasi zao zingechukuliwa na CCM, idadi ingekuwa ileile na hasara ingebaki ileile vilevileHawana msaada wowote zaidi zaidi kutuongezea gharama za maisha walipa kodi,kama ilivyokuwa kwa Covid-19.
Wanao aisei hata kama sio majimbo yote. Kwani chadema Sasa hivi siimebaki ya Lissu, Heche na Lema tu? Hata mnyika ukimwangalia sawasawa usoni utaona kuwa hakubaliani na no reforms no election ya Lissu na Heche. Ni hiyo atafanyaje tu.Hawana wagombea labda waazime kutoka ccm.
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Chadema ndio iko nyuma ya CHAUMMA, wasingefanya upumbavu hayo yasingetokea. Uongozi ni sayansi Lissu siyo kiongozi.Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Hawa?Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Kweli kabisa
Kama wabunge hawajachaguliwa na watu kunatofauti gani kwa mwananchi wa kawaida. Wananchi wanataka wawe na uwezo wa kuchagua watu wanao wapenda bila kujali chama. Nyie wajinga jinga mnaongelea ubunge kama biashara ya nyama
acha kujidanganya sisi tupo vijijin maporini tunakifaham chama cha CHAUMA kwa sera yake ya ubwabwa...walaji wa ubwabwa tupo wengi.Hizi bhangi mnavutishwa kwa lazimaa... au mnavuta kwa hiari yenu?
Chauma nani anakijua hicho chama?
Chama kinachojulikana Dasalam peke yake kiwe na wabunge wengi?
Kama ni wa kupewa na 100 hapo sawa
Kumbe wewe ni CCM, Nilidhani mtu wa maanaVyote unavyovijua wewe. Chama cha upinzani cha kweli ni kile kisichopokea fedha za wazungu wa Magharibi.
Sawa mkuuacha kujidanganya sisi tupo vijijin maporini tunakifaham chama cha CHAUMA kwa sera yake ya ubwabwa...walaji wa ubwabwa tupo wengi.
MUNGU YUKO NYUMA YA RUNGWE NA CHAUMMANani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Watu wanadharau sera ya ubwabwa, lakini kwa mwenye akili utakuwa unaokiona kile anachokilenga. Kama wanafunzi wote kuanzia primary, secondary na vyuo vya serikali watalishwa Bure ubwabwa elimu itapanda na ukulima wa mpunga utaongezeka maana soko la hakika lipo. Kama wagonjwa wote waliolazwa watapewa chakula Bure na Serikali watapona haraka na kupunguzia gharama familia zao kupeleka chakula kwa wagonjwa wao. Kama wenye shida ya njaa watapewa chakula Bure na Serikali yao uzalishaji wao utapanda na thamani ya maisha yao itapanda.acha kujidanganya sisi tupo vijijin maporini tunakifaham chama cha CHAUMA kwa sera yake ya ubwabwa...walaji wa ubwabwa tupo wengi.