PreGE2025 CHAUMMA kitapata wabunge wengi Bara kuliko vyama vingine vya upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Hivi unafahamu watanzia huwa hawadanganyiki kirahisi hivyo?chauma hawawezi kutoboa kabisa wataambulia pia pwaas
 
Chauma kina kazi kubwa ya kubadilisha mind set iliyopo kwa wananchi, hakikuwahi kuonekana chama serious, hasa slogan yake ya kulisha wananchi ubwabwa
huu ni upepo wa muda tu.
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Ogopa matapeli CCM Hana rafiki
 
Chauma kina kazi kubwa ya kubadilisha mind set iliyopo kwa wananchi, hakikuwahi kuonekana chama serious, hasa slogan yake ya kulisha wananchi ubwabwa
huu ni upepo wa muda tu.
Kwani Kenya Kuna vyama vya maana vyenye sera na vision? Mbona wanashinda uchaguzi kwa vyama vilivyoanzishwa siku hiyohiyo?
 
Kumbe mwaka huu kuna uchaguzi?

Ndio nimejua saa hizi , tume gani itasimamia huo uchaguzi?
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Ungesema kitagawiwa wabunge wengi na mashoga zao ccm.
 
Huwezi kung'ata mkono unaokulisha.
 
Ungesema kitagawiwa wabunge wengi na mashoga zao ccm.
Vyovyote vile, kaka sababu na zawadi kubwa ya pekee ya watu kujiunga na upinzani ni kupata nafasi ya kugombea udiwani na ubunge na kuteuliwa ubunge wa viti maalumu, nothing more nothing less. Ukiwaambia hakuna kushiriki uchaguzi hakuna rangi ambayo hawatakuonyesha. Ubunge na udiwani ndio leverage kuwa mpinzani, kwakuwa wanajua hawawezi kushinda urais.
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Huu utapeli hata Zito na ACT waliufanya uchaguzi wa 2015 na wakaahidiwa na ccm kuwa watapata wabunge wengi, lakini Zito pekee ndio akawa mbunge. Uchaguzi wa 2020 dhalimu magu naye akawaingiza mjini Lipumba na Mbatia kuwa vyama vyao atavipa viti vingi vya ubunge ili viwe vyama vikuu vya upinzani. Alichokifanya hata Mbatia alikuwa anashindwa kupokea simu, na hatimaye Mbatia akaishia kuporwa chama na Selasini.
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Ofcourse kitapewa ili kuwakomoa CHADEMA ila when they get back to their senses watafurushwa kama ilivyo chadema.

Kwenye mpira wa kikapu tunaita "Rebound". CHAUMMA imekuwa kama rebound ya CHADEMA maslahi.
 
Back
Top Bottom