PreGE2025 CHAUMMA kitapata wabunge wengi Bara kuliko vyama vingine vya upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
D
Do you think hao ambao watatolewa watakubali kuachia ubunge just because chauma wapewe?

Unawajua ccm vizuri kweli?

Yan mfano nape aambiwe tulia pembeni jimbo lako tumpe mtu wa chauma kuweka balance haha

Hiyo ni ndoto tu

Chauma watatumika then wanatupwa mbali huko mpaka 2030
Daaah, kwani yule wa Nkasi alipataje? Akina mdee walipataje?
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Chaumma Wakapambane na Mfumo wakiwa ndani ya mfumo wananchi waone matokeo ikibidi kuwageuka waliowafadhili. wakati huo huo chadema wapambane wakiwa ndani.
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Aliye nyuma ya CHAUMMA ni CCM na serikali
 
Yaani kenge wa CCM waache nafasi zao za, ulaji wa, ununge, wawape chaumma!
Hii sio mara ya kwanza wahamiaji kutoka vyama vingine kupewa kipaumbele over wenyeji kindakindaki wa CCM. Unawasahau akina Kitila, Nasari, Tumbili, mtolea, mngwila, nk. Vita ni mbinu walahi. Kwani wanaCCM hawakuwepo?
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Moderator badili kichwa cha habari kiwe..."CHAUMA WATAPEWA WABUNGE WENGI"...!
 
Yaani kenge wa CCM waache nafasi zao za, ulaji wa, ununge, wawape chaumma!
Kuna majimbo yenye KERO watapewa chaumma, moja la Kenge Ligola - kisesa
Job Nduguyai - Kongwa
Petrol bus Kitambi - Shinyanga mjini
Majimbo mapya 8 yote ya Chawauma.
Mdee ni mbunge wa jimbo gani?
Kaongea Leo BBC kasema majina yalipelekwa na mamlaka.
Bunge likivunjwa anagombea kupitia chaumma.
 
Hizi bhangi mnavutishwa kwa lazimaa... au mnavuta kwa hiari yenu?

Chauma nani anakijua hicho chama?

Chama kinachojulikana Dasalam peke yake kiwe na wabunge wengi?

Kama ni wa kupewa na 100 hapo sawa
unaijua NCCR wewe?
 
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?

Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.

Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Atakayekipa Chaumma kura ni nani? Bora kulipa ccm mara 1000
 
Back
Top Bottom