Hivi unafahamu watanzia huwa hawadanganyiki kirahisi hivyo?chauma hawawezi kutoboa kabisa wataambulia pia pwaasNani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
ata nccr ilikua ivi ivi wakati chadema inaanzaHivi unafahamu watanzia huwa hawadanganyiki kirahisi hivyo?chauma hawawezi kutoboa kabisa wataambulia pia pwaas
Vita ipi ?Chadema wameshindwa Vita acha chaumma apambane.
Ogopa matapeli CCM Hana rafikiNani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Kwani Kenya Kuna vyama vya maana vyenye sera na vision? Mbona wanashinda uchaguzi kwa vyama vilivyoanzishwa siku hiyohiyo?Chauma kina kazi kubwa ya kubadilisha mind set iliyopo kwa wananchi, hakikuwahi kuonekana chama serious, hasa slogan yake ya kulisha wananchi ubwabwa
huu ni upepo wa muda tu.
Watapata au watapewa?Vyama vingine vipi vya upinzani!!.
Ungesema kitagawiwa wabunge wengi na mashoga zao ccm.Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Huko Kenya hawanaga mambo ya vyama,wanajali mtu.Kwani Kenya Kuna vyama vya maana vyenye sera na vision? Mbona wanashinda uchaguzi kwa vyama vilivyoanzishwa siku hiyohiyo?
Huwezi kung'ata mkono unaokulisha.Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Vyovyote vile, kaka sababu na zawadi kubwa ya pekee ya watu kujiunga na upinzani ni kupata nafasi ya kugombea udiwani na ubunge na kuteuliwa ubunge wa viti maalumu, nothing more nothing less. Ukiwaambia hakuna kushiriki uchaguzi hakuna rangi ambayo hawatakuonyesha. Ubunge na udiwani ndio leverage kuwa mpinzani, kwakuwa wanajua hawawezi kushinda urais.Ungesema kitagawiwa wabunge wengi na mashoga zao ccm.
Huu utapeli hata Zito na ACT waliufanya uchaguzi wa 2015 na wakaahidiwa na ccm kuwa watapata wabunge wengi, lakini Zito pekee ndio akawa mbunge. Uchaguzi wa 2020 dhalimu magu naye akawaingiza mjini Lipumba na Mbatia kuwa vyama vyao atavipa viti vingi vya ubunge ili viwe vyama vikuu vya upinzani. Alichokifanya hata Mbatia alikuwa anashindwa kupokea simu, na hatimaye Mbatia akaishia kuporwa chama na Selasini.Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Ofcourse kitapewa ili kuwakomoa CHADEMA ila when they get back to their senses watafurushwa kama ilivyo chadema.Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.