Kumbe wewe ni CCM, Nilidhani mtu wa maana
Jumatatu vijana wa ccm 30 tutakua na press ya kuhamia chaumma! Tunaona na tunaenda kuungana na watanzania wengine wanaotaka sauti ya umma isikike! Ukumbi na muda tutawajulisha! CHAUMMA NDIO MPANGO, HASA WALE GEN Z TUNAWAKARIBISHA KWENYE CHAMA CHENU CHA KI GEN Z ,! NAWASILISHA.Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Sikatai na sipingi, maana sio wote ndani ya CCM wanafurahishwa na kinachotokea chamani na serkalini. Hilo linafahamika tangu mwana wao alipozima gafla kwa mapenzi yake Mungu. Na hiyo ndiyo demokrasia ya kawaida tunayoitaka tz, sio ile ya bunge la Ulaya na Martha karua.Jumatatu vijana wa ccm 30 tutakua na press ya kuhamia chaumma! Tunaona na tunaenda kuungana na watanzania wengine wanaotaka sauti ya umma isikike! Ukumbi na muda tutawajulisha! CHAUMMA NDIO MPANGO, HASA WALE GEN Z TUNAWAKARIBISHA KWENYE CHAMA CHENU CHA KI GEN Z ,! NAWASILISHA.
Chauma hakitapata wabunge weka akiba ya maneno tutarudi hapa hapa.Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Tabu ya chadema ni pale hata yule aliyenusurika kufa kwenye awamu zilizopita atakwambia bora Jana kuliko Leo. Hata wale waliopigwa kufanya Sasa siku zilizopita atakwambia bora ya yule kuliko huyu, hata aliyekuwa mkimbizi awamu ya Tano atakwambia bora Jana kuliko Leo. Ukweli hawako tayari kwa mapambano. Wacha CHAUMMA wajaribu bahati yao, upinzani bado kabisa, ni saccos za watu.
Kuna dili washapanga na CCM kuwapa CHAUMA majimbo 20 ya uchaguzi na viti maalum kama 30 kwa idadi ya kura za Rais.Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Ni Kiongozi wa CCM tu ndiyo anaweza kusema Katiba yetu ipo sawa....!Sina chama, chama changu ni Tanzania. Sema tu nakasirika kuona mtu anatumia ujinga na shida za wananchi kujinufaisha. Namna mifumo ya Dunia ilivyo Sasa hata mchague nani mabeberu watanufaika kwanza kabla ya wananchi. Mfano ni kule Kenya hali yao imebaki vilevile ingawa wanasema wana Katiba na tume nzuri ya uchaguzi. Ruto sio bora kuliko Uhuru na uhuru5hakuwa bora kuliko Ruto.
Ni haki gani ambayo watanzania wananyimwa na Serikali yao, elimu, afya, ardhi, kutembea, kuoa, kuendesha gari, kuabudu, ajira, kuishi, kuzikwa , au haki Gani hiyo chadema inapigania ambayo vyama vingine haviipiganii? Kama Tanzania kusingekuwa na haki kwa kiasi hicho Janabi na Tulia wangechaguliwa kwenye mambo ya dunia? Wazungu wangekubali kweli Tulia awe Rais wa mabunge yote duniani. Tuache umbumbumbu wa kudanganywa kwa maslahi ya wakora tu.Tatizo la vijana wengi ni bongo lala. Unavyosema bora jana kuliko leo unaongelea agenda au maslahi binafsi?
Sisi wengine na watanzania wengi hawaungi mkono Chadema kwasababu ya viongozi pekee ni kwasababu ya mambo na agenda zao ambazo ni za kupigania Haki. Sasa hao marafiki zako wa Chauma wanapigania nini hasa! tofauti yao na CCM ni ipi hasa unajua au unashangilia tu watu !
Kuna dili washapanga na CCM kuwapa CHAUMA majimbo 20 ya uchaguzi na viti maalum kama 30 kwa idadi ya kura za Rais.
Yaani watu wanapanga matokeo ya uchaguzi kabla hata haujafanyika.
NO Reforms ndiyo chama makini wengine ni makapi ya CCM.
Kwani China, Russia, North Korea na uarabuni Kuna tume huru za uchaguzi? Mbona mambo yao fresh tuu? Tumedanganywa na mabeberu kuhusu demokrasia. Kama nyumbani kwako hakuna demokrasia na haki kwa watoto wako na mkeo haiwezekani demokrasia pana serikalini. Demokrasia anzia nyumbani kwako, mashuleni na mitaani kwanza. Tumedanganywa na wakora ili tu urugane na wao wapenyeze watu wao wawe viongozi wao kwa jina la demokrasia.Huijui ccm, ni mjinga pekee, tena Lofa kwa msemo wa mkapa anaeweza kudanganyika na akashiriki uchaguzi, huyo ni limbukeni, tume kuwa na upinzani toka 1995, na hakuna cha maana.
Kitu wanacho pigania chadema ndio uhai wa upinzani Tanzania, hata chadema wali jidanganya hivyo hivyo juzi Kati kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na majibu wanayo.
Chauma, act wazalendo na cuf kushiriki kwao ni kuharamisha maovu ya ccm na ccm kuendelea kudanganya dunia kuwa kuna uchaguzi Tanzania, lakini matokeo ni yake yale na wata pigwa na mawakala wao wataona vumbi tu.
Ccm ni majambazi, rejea clips za waziri ilio vuja ana kuambia yeye ni mafia kudelete mtu ni jambo la kawaida, speaker tulia yeye ana sema huu mwaka mungu awa samehe hawako tayari kwenda mbinguni, sijui watanzania mnataka nini, Tanzania hakuna uchaguzi.
Zitto pengine uta muelewa yeye ni pure ccm na ukija utawala wetu wa dini yake huwa hapingi, ana elements za kidini.
Then?Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa njia za waziwazi kama walivyofanya akina tumbili.
Katiba hii imeandikwa mwaka 1977 wakati wa Nyerere, Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli wote waliitumia hiihii hiyohiyo ilivyo. Kwanini kuibadili lazima iwe lazima wakati Samia, Rais mwanamke kutoka Zanzibar? Kwanini lazima hizi hazikuwepo wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli? Hapa Kuna dharau inapiga kwa Rais mwanamke kutoka Zanzibar.Ni Kiongozi wa CCM tu ndiyo anaweza kusema Katiba yetu ipo sawa....!
Kama Kuna Raia wa kawaida tu ambaye sie mfuasi wa Siasa za Tanzania then akakataa Mabadiriko ya Katiba basi atakua ni Mpumbavu.