Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ni tukio la kisiasaNa wewe unatumika ku-promote hii biashara kichaa?
Magu alikuja na project kama hii akifikiri anaiua CHADEMA, matokeo yake kafa yeye kaicha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.Ni tukio la kisiasa
Punguza makasiriko 🐼Na wewe unatumika ku-promote hii biashara kichaa?
kuna wanasiasa wa mihemko wamejifungia vyumbani mwao wanatazama live huku wanabubujikwa machozi ya uchungu, dah!
View: https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos
View attachment 3340814
View attachment 3340815
Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA
Ni kweli kabisa ukiangalia katika dunia hii, mtu mweusi bado yupo kwenye EVOLUTION, bado ubongo haujafikia kuwa wa mtu, wachache sana. Fikiria hawa wote wanajua kabisa hawawezi kufikia kokote kule kwa kuidhalilisha Chadema, ni kuiongezea taabu zaidi miaka mitano mingine, hadi 2030 wakati Rostam, Abdul na JK watajiongezea mali maradufu na wao watabaki hapo hapo kulia na kusaga meno kwa uchungu wa maisha yao na watoto wao. Mungu epusha.Na wewe unatumika ku-promote hii biashara kichaa?
Duh!! Kumechangamka
View: https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos
View attachment 3340814
View attachment 3340815
Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA
Chama cha Udalali wa mama
View: https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos
View attachment 3340814
View attachment 3340815
Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA
Kukodi watu wa ubungo, mwanyamala na Sinza ukawavisha sure sio tatizokuna wanasiasa wa mihemko wamejifungia vyumbani mwao wanatazama live huku wanabubujikwa machozi ya uchungu, dah!
walidhani ni mzaha 🐒
Itapendeza na yeye apate ubungeKushiba na Maendeleo.
Spunda atapata ubunge viti hata 15.