Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM ni kusanyiko la wajinga haswaCCM huwa wanaoga ata maji ya mtaro,wao kunuka siyo tatizo madamu chama keshika hatamu.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni kusanyiko la wajinga haswaCCM huwa wanaoga ata maji ya mtaro,wao kunuka siyo tatizo madamu chama keshika hatamu.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Shangaa yani wanamkuza wakati mtu mwenyewe ni kilaza tu.Kwa vile alitangaza BBC swahili. At least angetangaza BBC english basi kama Larry Magowo.Nani alimpa hiyo ahadi?
Mnamkuuuza huyo SK kana kwamba ana something extra kiutendaji.
-Kaveli-
Hana shule huyo.Ujanja tu ndo ulimfikisha BBC swahili. Again BBC swahili.Alifikaje bbc na kukaa miaka yote hiyo huku akiwa ni muhuni muhuni? Wivu utakuua kwa taarifa yako haumzidi kikeke kuanzia mafanio,umaarufu na connection
Ndugu, labda na au hunijui na hilo box pia. umekaririshwa kwamba ukienda huko ni kubeba box, kama walibeba ni wao , sio wote.Unaona sasa ulivyo muongo eti wazungu wa UK hawajali elimu sana! Jidanganye labda kwa kazi ya kubeba boksi. Haujui lolote nakuhakikishia SK kimemtoa BBC elimu na kashindwa na Mkenya ndio yeye na wenzake wakatoa wengine wakakimbilia Idhaa ya Kiswahili ya Uturuki. BBC bila elimu na kumbuka dunia inapika kwenye bahari ya mabadiliko makubwa sio hizi Local media sina akina Swebe,Baba Levo,Kitenge, Kumwembe na akina Jose Mara zilivyojaza upuuzi na ujinga mtupu. Tena ukome kusema UK hawajali elimu vile vyuo vyao unajua wanavyozilinda kupokea watu wajinga kama wewe.
Hana degree yule wewe.Ana diploma ya chuo cha kilimo Tangeru. Yule amalize Masters UK na aspost picha akiwa na Joho la graduation na kupost cheti chake ?WEWE NI MPUMBAVU!
USIPENDE KUONGELEA WATU USIOWAJUA NA KUWACHUKULIA POA!
YULE SIO MWENZIO HATA KIDOGO NA HII INAONESHA DHAHIRI WABONGO NI WAKURUPUKAJI WA KUONGEA VITU MSIVYOVIJUA...
SALIM KIKEKE ANA DEGREE ZAIDI YA MOJA NA MASTERS ALIYOISOMEA UINGEREZA KIPINDI YUKO ULAYA MIAKA MINGI. KASOMEA SIASA ZA KIMATAIFA NA NAMNA YA KU-RESOLVE MIGOGORO YA KISIASA YA KIMATAIFA. BISHANA NIKUTAJIE MPAKA NA CHUO NA MAHALA KILIPO NA PICHA YAKE AKIWA AMEHITIMU. MEDIA ZA KIMATAIFA HAZICHUKUI WATU ANGALAU WASIO NA DEGREE! TENA ZA KIMATAIFA... POLE KAMA ULIHISI YULE NI MWENZIO AU WALE WANAOKAA PALE NI WENZIO
TENA POLE SANA!
Alifanya nini na nini mpaka kufika bbc? Nataka unieleze huo ujanja aliokautumiaHana shule huyo.Ujanja tu ndo ulimfikisha BBC swahili. Again BBC swahili.
Sawa....Hana shule huyo.Ujanja tu ndo ulimfikisha BBC swahili. Again BBC swahili.
Kikekeke unajipigia kampein. 🤣Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali. Baada ya kufika nchini alisubiri kwa muda mama aachie nafasi ya uteuzi bila mafanikio. Ndipo akaamua kwenda kujishikiza pale EFM ili mama akipangua nafasi za uteuzi yeye ateuliwe kuwa msemaji wa serikali. Inavyoonekana ni kama vetting bado ilikuwa haijakamilika.
Baadaye upekuzi ulipofanyika kwa kina zaidi, ikaonekana nafasi ya usemaji wa serikali haitamfaa. Nafasi ile inamfaa mtu muongeaji na mwenye uwezo wa kuelekezwa kusema uongo akatoka hadharani kuusema na kuutetea kwa macho makavu. Kikeke ni mtu wa msimamo na asiyefundishwa nini cha kuongea. Ni mtu mwenye kusimamia maadili ya habari na anamuogopa Mungu. Ni vigumu sana kumwambia aende hadharani kusema uongo kwa lengo tu la kutetea jambo au madudu ya serikali.
Hiki ndiko kilichomponza kijana wa watu licha ya kushawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi na serikali lakini kazi aliyoahidiwa amekuja kupewa mtu mwingine. Wafanyakazi wa BBC huwa wanafundishwa maadili ktk taaluma ya habari yanawafanya waive sawasawa na kutokubali kuyumbishwa.
Tukumbuke pia Tido Mhando misimamo yake ni sawa na ya Kikeke. Tido aliombwa kurudi nchini akapewa TBC. Baada ya kunyesha msimamo usioyumba katika kusimamia ukweli kwenye habari, serikali ikamtupa nje na kisha kumfungulia kesi ya bandia ya uhujumu uchumi. Mpaka sasa nadhani hiyo kesi anateseka nayo mahakamani.
Kumbuka mtu kaacha kazi BBC anakolipwa mamilioni ya paundi za kingereza anashawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi nzuri halafu hapewi! Hii sio sawa. Kama kazi hakuna au huna uhakika wa kumpa kazi, ni bora wangemuacha abaki BBC aendelee kuvuna paundi zake angerudi nyumbani afungue media awaajiri vijana wenzake.
Tazama mfano wa Abdalla Bulembo Majura aliyevuna paundi za kutosha akiwa BBC aliporudi nyumbani amefungua kituo cha redio ABM FM kule Dodoma amewaajiri vijana wa kitanzania wanapata ridhiki zao za kila siku bila tatizo. Kama Kikeke angeachwa aendelee kukaa BBC hadi astaafu angerudi nchini akiwa na paundi za kutosha akafungua kituo cha TV au redio akawaajiri vijana wenzake. Sio haki kumuahidi mtu kuacha kazi ya pesa nyingi halafu anarudi nyumbani kwa matumaini ya kupewa kazi, anatoswa mazima. Tabia hii sio nzuri na haitoi mfano mzuri kwa vijana wachapa kazi kama Kikeke.
USHAURI WANGU
Naishauri serikali impangie kazi nyingine ndugu Salim Kikeke kwa kuwa wameamua kugawa nafasi yake kwa mtu mwingine kinyume na makubaliano. Huu mchezo wa kutosana ukiendelea, itakuwa vigumu kuwashawishi vijana wezalendo kutoka ughaibuni kurudi nyumbani kuitumikia nchi yao. Nchi hii ni yetu sote, sio mali ya kikundi fulani cha watu.
Nawasilisha.
Uthubutu tu.
Huwa ninawashangaa watu wanaokuwa nje ya nchi wana kazi zao za maana wanahadaika kirahisi waache kazi za maana huko waliko waje kuitumikia serikali ya ccm. Huwa ninawashangaa sana.Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali. Baada ya kufika nchini alisubiri kwa muda mama aachie nafasi ya uteuzi bila mafanikio. Ndipo akaamua kwenda kujishikiza pale EFM ili mama akipangua nafasi za uteuzi yeye ateuliwe kuwa msemaji wa serikali. Inavyoonekana ni kama vetting bado ilikuwa haijakamilika.
Baadaye upekuzi ulipofanyika kwa kina zaidi, ikaonekana nafasi ya usemaji wa serikali haitamfaa. Nafasi ile inamfaa mtu muongeaji na mwenye uwezo wa kuelekezwa kusema uongo akatoka hadharani kuusema na kuutetea kwa macho makavu. Kikeke ni mtu wa msimamo na asiyefundishwa nini cha kuongea. Ni mtu mwenye kusimamia maadili ya habari na anamuogopa Mungu. Ni vigumu sana kumwambia aende hadharani kusema uongo kwa lengo tu la kutetea jambo au madudu ya serikali.
Hiki ndiko kilichomponza kijana wa watu licha ya kushawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi na serikali lakini kazi aliyoahidiwa amekuja kupewa mtu mwingine. Wafanyakazi wa BBC huwa wanafundishwa maadili ktk taaluma ya habari yanawafanya waive sawasawa na kutokubali kuyumbishwa.
Tukumbuke pia Tido Mhando misimamo yake ni sawa na ya Kikeke. Tido aliombwa kurudi nchini akapewa TBC. Baada ya kunyesha msimamo usioyumba katika kusimamia ukweli kwenye habari, serikali ikamtupa nje na kisha kumfungulia kesi ya bandia ya uhujumu uchumi. Mpaka sasa nadhani hiyo kesi anateseka nayo mahakamani.
Kumbuka mtu kaacha kazi BBC anakolipwa mamilioni ya paundi za kingereza anashawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi nzuri halafu hapewi! Hii sio sawa. Kama kazi hakuna au huna uhakika wa kumpa kazi, ni bora wangemuacha abaki BBC aendelee kuvuna paundi zake angerudi nyumbani afungue media awaajiri vijana wenzake.
Tazama mfano wa Abdalla Bulembo Majura aliyevuna paundi za kutosha akiwa BBC aliporudi nyumbani amefungua kituo cha redio ABM FM kule Dodoma amewaajiri vijana wa kitanzania wanapata ridhiki zao za kila siku bila tatizo. Kama Kikeke angeachwa aendelee kukaa BBC hadi astaafu angerudi nchini akiwa na paundi za kutosha akafungua kituo cha TV au redio akawaajiri vijana wenzake. Sio haki kumuahidi mtu kuacha kazi ya pesa nyingi halafu anarudi nyumbani kwa matumaini ya kupewa kazi, anatoswa mazima. Tabia hii sio nzuri na haitoi mfano mzuri kwa vijana wachapa kazi kama Kikeke.
USHAURI WANGU
Naishauri serikali impangie kazi nyingine ndugu Salim Kikeke kwa kuwa wameamua kugawa nafasi yake kwa mtu mwingine kinyume na makubaliano. Huu mchezo wa kutosana ukiendelea, itakuwa vigumu kuwashawishi vijana wezalendo kutoka ughaibuni kurudi nyumbani kuitumikia nchi yao. Nchi hii ni yetu sote, sio mali ya kikundi fulani cha watu.
Nawasilisha.
Pole Kikeke,kaombe kazi wasafi radio.Wewe unajua nini? Unajua ahadi yao ilikuwaje? Acha kutetea dhulma mkuu. Mungu anawaona. Uchawa utawapeleka jehanamu. Mkitoa ahadi mnapaswa kuitimiza. Acheni ujinga.
[emoji1787][emoji1787]Huwezi acha kazi kwa ahadi ya mdomo
Kumbe uthubutu ni muhimu mno kuliko hiyo elimu ya vyuo vikuu?Uthubutu tu.
Yule kwa tabia yake ya kupost maisha yake,Hawezi acha kujipost akipokea ganda la Uni.Ni lazima upost kwa "grandiosity"?!!
Ndio maana wabongo mnakuwa maskini kwa kupenda kuiga....
Mimi nilimaliza "prestige univ" na wala sikupost IG wala kokote....
Badilika wewe "Nkwimba" [emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hauko serious [emoji1787]Uthubutu tu.
Yap.Sema kuwa msemaji wa Serikali inahitaji Elimu ya mambo mengi. Na uwe mtu wa fikra pevu na mwepesi wa kung'amua mambo.Kumbe uthubutu ni muhimu mno kuliko hiyo elimu ya vyuo vikuu?