Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Umri unakuachaKikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri unakuachaKikeke hana shule yule ni mhuni mhuni tu. Kilichomtoa BBC ni shule sio kingine.
Unazungumzia serikali za africa au huko kwa wenzetu walikoendelea?Yap.Sema kuwa msemaji wa Serikali inahitaji Elimu ya mambo mengi. Na uwe mtu wa fikra pevu na mwepesi wa kung'amua mambo.
Hapa hapa Tanzania. Msemaji akivurunda anaweza chafua hall ya hewa .Unazungumzia serikali za africa au huko kwa wenzetu walikoendelea?
wote ni hot garbage. Taka mbichi.[emoji3064]Kwa hiyo Zuhura Yunus nae alifundishwa akafuzu huko BBC? Please!
Tupa kule wote hawa mizigo kuanzia Charles Hillary, Zuhura Yunus, Salim Kikeke, wote ni hot garbage. Taka mbichi.
Nani aliwahi kurudi kutoka mashirika ya habari ya Magharibi akawa tofauti, aka-make a difference ?
Unataka kuniambia Gerson Msigwa ni mtu makini sana?Hapa hapa Tanzania. Msemaji akivurunda anaweza chafua hall ya hewa .
Please share the video [emoji1545]Kilichoelezwa Hapa na kumposa kikeke Ni kavideo chake Cha kudhiaki hoja ya bandari kwa kuchapisha maudhui ktk mtando wake wa Instagram na Kisha kushare na followers wake
Kivideo hiko kilimuonesha akiigiza Kama mtu anasain mkataba bila kusoma vzr Kisha anamuuliza umesign ....umesaini Kisha akasema sijasign ila nimesaini
Hicho ndicho kilichomponza kikeke na efm hakn maokoto
Ulichokisema si habari hisipokuwa ni umbea na hisia za kutunga.Unatuambia Kikeke alikuwa analipwa mamilioni ya pound za Uingereza, Kikeke ni nani kulipwa hayo mamilioni ya pound?Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali. Baada ya kufika nchini alisubiri kwa muda mama aachie nafasi ya uteuzi bila mafanikio. Ndipo akaamua kwenda kujishikiza pale EFM ili mama akipangua nafasi za uteuzi yeye ateuliwe kuwa msemaji wa serikali. Inavyoonekana ni kama vetting bado ilikuwa haijakamilika.
Baadaye upekuzi ulipofanyika kwa kina zaidi, ikaonekana nafasi ya usemaji wa serikali haitamfaa. Nafasi ile inamfaa mtu muongeaji na mwenye uwezo wa kuelekezwa kusema uongo akatoka hadharani kuusema na kuutetea kwa macho makavu. Kikeke ni mtu wa msimamo na asiyefundishwa nini cha kuongea. Ni mtu mwenye kusimamia maadili ya habari na anamuogopa Mungu. Ni vigumu sana kumwambia aende hadharani kusema uongo kwa lengo tu la kutetea jambo au madudu ya serikali.
Hiki ndiko kilichomponza kijana wa watu licha ya kushawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi na serikali lakini kazi aliyoahidiwa amekuja kupewa mtu mwingine. Wafanyakazi wa BBC huwa wanafundishwa maadili ktk taaluma ya habari yanawafanya waive sawasawa na kutokubali kuyumbishwa.
Tukumbuke pia Tido Mhando misimamo yake ni sawa na ya Kikeke. Tido aliombwa kurudi nchini akapewa TBC. Baada ya kunyesha msimamo usioyumba katika kusimamia ukweli kwenye habari, serikali ikamtupa nje na kisha kumfungulia kesi ya bandia ya uhujumu uchumi. Mpaka sasa nadhani hiyo kesi anateseka nayo mahakamani.
Kumbuka mtu kaacha kazi BBC anakolipwa mamilioni ya paundi za kingereza anashawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi nzuri halafu hapewi! Hii sio sawa. Kama kazi hakuna au huna uhakika wa kumpa kazi, ni bora wangemuacha abaki BBC aendelee kuvuna paundi zake angerudi nyumbani afungue media awaajiri vijana wenzake.
Tazama mfano wa Abdalla Bulembo Majura aliyevuna paundi za kutosha akiwa BBC aliporudi nyumbani amefungua kituo cha redio ABM FM kule Dodoma amewaajiri vijana wa kitanzania wanapata ridhiki zao za kila siku bila tatizo. Kama Kikeke angeachwa aendelee kukaa BBC hadi astaafu angerudi nchini akiwa na paundi za kutosha akafungua kituo cha TV au redio akawaajiri vijana wenzake. Sio haki kumuahidi mtu kuacha kazi ya pesa nyingi halafu anarudi nyumbani kwa matumaini ya kupewa kazi, anatoswa mazima. Tabia hii sio nzuri na haitoi mfano mzuri kwa vijana wachapa kazi kama Kikeke.
USHAURI WANGU
Naishauri serikali impangie kazi nyingine ndugu Salim Kikeke kwa kuwa wameamua kugawa nafasi yake kwa mtu mwingine kinyume na makubaliano. Huu mchezo wa kutosana ukiendelea, itakuwa vigumu kuwashawishi vijana wezalendo kutoka ughaibuni kurudi nyumbani kuitumikia nchi yao. Nchi hii ni yetu sote, sio mali ya kikundi fulani cha watu.
Nawasilisha.
Mpumbavu wewe,Mimi nilikuwa najaribu kumuonesha makosa ya kimaandishi aliyoyafanya kwa sababu si kweli kwamba wanalipwa mamilioni ya paundi kwa mwezi huko BBC kama alivyoandika mwandishi labda angesema hizo paundi wanazolipwa ukija kuzibadilisha kwa hela ya Bongo ndio utapata hayo mamilioni(kwa Tshs).Hili ndo tatizo la wabongo... huwa hampendani!
Ulitaka wateseke wawe na maisha magumu kama nyie mliong'ang'ana kuishi hapa na hamkutaka kuvuka mipaka kutafuta fursa zingine za maisha?!
Shangaa yani wanamkuza wakati mtu mwenyewe ni kilaza tu.Kwa vile alitangaza BBC swahili. At least angetangaza BBC english basi kama Larry Magowo.
Unachekesha kweli! Ina maana baada ya kuhamia Nairobi wangeanza kulipwa mishahara ya kibongo hivyo wakaone bora waondoke? Kufanyia kazi mazingira tofauti na London huku ukilipwa mamilioni ya paundi tatizo liko wapi? Huna hoja wewe!Ninachojua, Kikeke na ma legend wenzake wa BBC Swahili waliamua kumaliza mikataba ya pale BBC baada ya studio kuhamishwa kutoka London kwenda nairobi.
Na ni watangazaji wengi tu waliamua kuacha kazi. Hizo Habari za kusema aliacha Kwa kutonywa Kuna mchongo Sio kweli.
Hivi kumbe Salim kike ni Kijana!Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali. Baada ya kufika nchini alisubiri kwa muda mama aachie nafasi ya uteuzi bila mafanikio. Ndipo akaamua kwenda kujishikiza pale EFM ili mama akipangua nafasi za uteuzi yeye ateuliwe kuwa msemaji wa serikali. Inavyoonekana ni kama vetting bado ilikuwa haijakamilika.
Baadaye upekuzi ulipofanyika kwa kina zaidi, ikaonekana nafasi ya usemaji wa serikali haitamfaa. Nafasi ile inamfaa mtu muongeaji na mwenye uwezo wa kuelekezwa kusema uongo akatoka hadharani kuusema na kuutetea kwa macho makavu. Kikeke ni mtu wa msimamo na asiyefundishwa nini cha kuongea. Ni mtu mwenye kusimamia maadili ya habari na anamuogopa Mungu. Ni vigumu sana kumwambia aende hadharani kusema uongo kwa lengo tu la kutetea jambo au madudu ya serikali.
Hiki ndiko kilichomponza kijana wa watu licha ya kushawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi na serikali lakini kazi aliyoahidiwa amekuja kupewa mtu mwingine. Wafanyakazi wa BBC huwa wanafundishwa maadili ktk taaluma ya habari yanawafanya waive sawasawa na kutokubali kuyumbishwa.
Tukumbuke pia Tido Mhando misimamo yake ni sawa na ya Kikeke. Tido aliombwa kurudi nchini akapewa TBC. Baada ya kunyesha msimamo usioyumba katika kusimamia ukweli kwenye habari, serikali ikamtupa nje na kisha kumfungulia kesi ya bandia ya uhujumu uchumi. Mpaka sasa nadhani hiyo kesi anateseka nayo mahakamani.
Kumbuka mtu kaacha kazi BBC anakolipwa mamilioni ya paundi za kingereza anashawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi nzuri halafu hapewi! Hii sio sawa. Kama kazi hakuna au huna uhakika wa kumpa kazi, ni bora wangemuacha abaki BBC aendelee kuvuna paundi zake angerudi nyumbani afungue media awaajiri vijana wenzake.
Tazama mfano wa Abdalla Bulembo Majura aliyevuna paundi za kutosha akiwa BBC aliporudi nyumbani amefungua kituo cha redio ABM FM kule Dodoma amewaajiri vijana wa kitanzania wanapata ridhiki zao za kila siku bila tatizo. Kama Kikeke angeachwa aendelee kukaa BBC hadi astaafu angerudi nchini akiwa na paundi za kutosha akafungua kituo cha TV au redio akawaajiri vijana wenzake. Sio haki kumuahidi mtu kuacha kazi ya pesa nyingi halafu anarudi nyumbani kwa matumaini ya kupewa kazi, anatoswa mazima. Tabia hii sio nzuri na haitoi mfano mzuri kwa vijana wachapa kazi kama Kikeke.
USHAURI WANGU
Naishauri serikali impangie kazi nyingine ndugu Salim Kikeke kwa kuwa wameamua kugawa nafasi yake kwa mtu mwingine kinyume na makubaliano. Huu mchezo wa kutosana ukiendelea, itakuwa vigumu kuwashawishi vijana wezalendo kutoka ughaibuni kurudi nyumbani kuitumikia nchi yao. Nchi hii ni yetu sote, sio mali ya kikundi fulani cha watu.
Nawasilisha.
Msamehe bure mkuu; hajui alitendalo. Anasumbuliwa na utoto tu akikuwa ataacha.Ndugu, labda na au hunijui na hilo box pia. umekaririshwa kwamba ukienda huko ni kubeba box, kama walibeba ni wao , sio wote.
Jua tu kwamba hayo niliyo yasema ni kweli tupu. Huko UK nimeishi si chini ya miaka 23, nina watoto ambao kwa sasa ni lecturers wa Oxford na Cambridge na nimefanya kazi ya Sheria kama Top QC na au KC kwa zaidi ya miaka 15 ktk tassisi zinazo heshimika duniani mpaka Tanzania pia achilia mbali serikali ya Uingereza yenyewe. Hivyo ukiwa unataka ligi, jiandae. Sasa sema uongo wangu uko wapi ili hali kwa mfano mdogo tu ukitoka huko bongo na masters hawaithamini sana huko UK, na lazima uwe kitchen porter kwanza. Kama unataka ligi, weka contacts zako nikufungulie kesi tuone utachomoka vipi. Ni tumie kwenye private message kama unaogopa kuzimwaga hapa ili tuone muongi ni nani. Mwana kulitafuta , mwana kulipata, twende kwa pilato, si unataka...
Kujali ubora wa Elimu na kujali uzoefu wa kazi ni vitu viwili tofauti.
Hizi chuki Kwa watu sijui zinatoka wapi aseeAmelipa machawa kibao kumfanyia promo ya kimchongo mitandaoni, wameishia kumvimbisha kichwa bure tu na kumponza.
Mtu mwenyewe utoto mwingi na mikato ya kishamba shamba tu as if hana exposure ya ughaibuni.
Kupata 'connection' at BBC Swahili ndiyo wanamuona booonge la mtu smart kichwani, ilihali ni mweupe tu na kawaida saaaana below standards. Tunamjua in & out.
Aendelee kuomba dua. Mamlaka zitamuona tu hatimaye na kumjadili positively, hata kwa positions nyinginezo.
-Kaveli-
Huyu tunamjua vizuri,anajidai mjanja na huko UK si alioa mzungu ili apate makaratasi ya kudumu ,na akamuacha mkewe (Rukia Mtingwa) Kisa tamaa ya uraia wa kwa Malkia Elizabeth. Yaani anataka kazi serikalini kwa nguvu zote. Labda atapewa hata ka ukuu wa wilaya si unajua anategemea connection ya Zuu.Amelipa machawa kibao kumfanyia promo ya kimchongo mitandaoni, wameishia kumvimbisha kichwa bure tu na kumponza.
Mtu mwenyewe utoto mwingi na mikato ya kishamba shamba tu as if hana exposure ya ughaibuni.
Kupata 'connection' at BBC Swahili ndiyo wanamuona booonge la mtu smart kichwani, ilihali ni mweupe tu na kawaida saaaana below standards. Tunamjua in & out.
Aendelee kuomba dua. Mamlaka zitamuona tu hatimaye na kumjadili positively, hata kwa positions nyinginezo.
-Kaveli-
Acha kujifia we kikeme huna akili hiyo. Kwanza ukipata div three o level tena masomo ya kike ya hgkHakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali. Baada ya kufika nchini alisubiri kwa muda mama aachie nafasi ya uteuzi bila mafanikio. Ndipo akaamua kwenda kujishikiza pale EFM ili mama akipangua nafasi za uteuzi yeye ateuliwe kuwa msemaji wa serikali. Inavyoonekana ni kama vetting bado ilikuwa haijakamilika.
Baadaye upekuzi ulipofanyika kwa kina zaidi, ikaonekana nafasi ya usemaji wa serikali haitamfaa. Nafasi ile inamfaa mtu muongeaji na mwenye uwezo wa kuelekezwa kusema uongo akatoka hadharani kuusema na kuutetea kwa macho makavu. Kikeke ni mtu wa msimamo na asiyefundishwa nini cha kuongea. Ni mtu mwenye kusimamia maadili ya habari na anamuogopa Mungu. Ni vigumu sana kumwambia aende hadharani kusema uongo kwa lengo tu la kutetea jambo au madudu ya serikali.
Hiki ndiko kilichomponza kijana wa watu licha ya kushawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi na serikali lakini kazi aliyoahidiwa amekuja kupewa mtu mwingine. Wafanyakazi wa BBC huwa wanafundishwa maadili ktk taaluma ya habari yanawafanya waive sawasawa na kutokubali kuyumbishwa.
Tukumbuke pia Tido Mhando misimamo yake ni sawa na ya Kikeke. Tido aliombwa kurudi nchini akapewa TBC. Baada ya kunyesha msimamo usioyumba katika kusimamia ukweli kwenye habari, serikali ikamtupa nje na kisha kumfungulia kesi ya bandia ya uhujumu uchumi. Mpaka sasa nadhani hiyo kesi anateseka nayo mahakamani.
Kumbuka mtu kaacha kazi BBC anakolipwa mamilioni ya paundi za kingereza anashawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi nzuri halafu hapewi! Hii sio sawa. Kama kazi hakuna au huna uhakika wa kumpa kazi, ni bora wangemuacha abaki BBC aendelee kuvuna paundi zake angerudi nyumbani afungue media awaajiri vijana wenzake.
Tazama mfano wa Abdalla Bulembo Majura aliyevuna paundi za kutosha akiwa BBC aliporudi nyumbani amefungua kituo cha redio ABM FM kule Dodoma amewaajiri vijana wa kitanzania wanapata ridhiki zao za kila siku bila tatizo. Kama Kikeke angeachwa aendelee kukaa BBC hadi astaafu angerudi nchini akiwa na paundi za kutosha akafungua kituo cha TV au redio akawaajiri vijana wenzake. Sio haki kumuahidi mtu kuacha kazi ya pesa nyingi halafu anarudi nyumbani kwa matumaini ya kupewa kazi, anatoswa mazima. Tabia hii sio nzuri na haitoi mfano mzuri kwa vijana wachapa kazi kama Kikeke.
USHAURI WANGU
Naishauri serikali impangie kazi nyingine ndugu Salim Kikeke kwa kuwa wameamua kugawa nafasi yake kwa mtu mwingine kinyume na makubaliano. Huu mchezo wa kutosana ukiendelea, itakuwa vigumu kuwashawishi vijana wezalendo kutoka ughaibuni kurudi nyumbani kuitumikia nchi yao. Nchi hii ni yetu sote, sio mali ya kikundi fulani cha watu.
Nawasilisha.
Ngonja nikaangalie.Sijawahi kumfollow.Kuna siku niliangalia page yake nikaona ana utoto mwingi mno.Mara apost anapika ugali kwenye kijiko kidogo cha London.Nishangaa sana anaanza kutamba akionesha nyumba yake
Atulie sana aache kupiga selfie hovyo na kujiona anaongea sana halafu je shule ipo?Anaandaliwa u DC kama kipozeo au nafasi nyingine yoyote ya kuteuliwa itakayohusisha fani yake.. Mkeka ujao next year utambeba lakini kama akiwa mtiifu kwa chama na serikali
Sent using Jamii Forums mobile app