Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali. Baada ya kufika nchini alisubiri kwa muda mama aachie nafasi ya uteuzi bila mafanikio. Ndipo akaamua kwenda kujishikiza pale EFM ili mama akipangua nafasi za uteuzi yeye ateuliwe kuwa msemaji wa serikali. Inavyoonekana ni kama vetting bado ilikuwa haijakamilika.

Baadaye upekuzi ulipofanyika kwa kina zaidi, ikaonekana nafasi ya usemaji wa serikali haitamfaa. Nafasi ile inamfaa mtu muongeaji na mwenye uwezo wa kuelekezwa kusema uongo akatoka hadharani kuusema na kuutetea kwa macho makavu. Kikeke ni mtu wa msimamo na asiyefundishwa nini cha kuongea. Ni mtu mwenye kusimamia maadili ya habari na anamuogopa Mungu. Ni vigumu sana kumwambia aende hadharani kusema uongo kwa lengo tu la kutetea jambo au madudu ya serikali.

Hiki ndiko kilichomponza kijana wa watu licha ya kushawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi na serikali lakini kazi aliyoahidiwa amekuja kupewa mtu mwingine. Wafanyakazi wa BBC huwa wanafundishwa maadili ktk taaluma ya habari yanawafanya waive sawasawa na kutokubali kuyumbishwa.

Tukumbuke pia Tido Mhando misimamo yake ni sawa na ya Kikeke. Tido aliombwa kurudi nchini akapewa TBC. Baada ya kunyesha msimamo usioyumba katika kusimamia ukweli kwenye habari, serikali ikamtupa nje na kisha kumfungulia kesi ya bandia ya uhujumu uchumi. Mpaka sasa nadhani hiyo kesi anateseka nayo mahakamani.

Kumbuka mtu kaacha kazi BBC anakolipwa mamilioni ya paundi za kingereza anashawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi nzuri halafu hapewi! Hii sio sawa. Kama kazi hakuna au huna uhakika wa kumpa kazi, ni bora wangemuacha abaki BBC aendelee kuvuna paundi zake angerudi nyumbani afungue media awaajiri vijana wenzake.

Tazama mfano wa Abdalla Bulembo Majura aliyevuna paundi za kutosha akiwa BBC aliporudi nyumbani amefungua kituo cha redio ABM FM kule Dodoma amewaajiri vijana wa kitanzania wanapata ridhiki zao za kila siku bila tatizo. Kama Kikeke angeachwa aendelee kukaa BBC hadi astaafu angerudi nchini akiwa na paundi za kutosha akafungua kituo cha TV au redio akawaajiri vijana wenzake. Sio haki kumuahidi mtu kuacha kazi ya pesa nyingi halafu anarudi nyumbani kwa matumaini ya kupewa kazi, anatoswa mazima. Tabia hii sio nzuri na haitoi mfano mzuri kwa vijana wachapa kazi kama Kikeke.

USHAURI WANGU
Naishauri serikali impangie kazi nyingine ndugu Salim Kikeke kwa kuwa wameamua kugawa nafasi yake kwa mtu mwingine kinyume na makubaliano. Huu mchezo wa kutosana ukiendelea, itakuwa vigumu kuwashawishi vijana wezalendo kutoka ughaibuni kurudi nyumbani kuitumikia nchi yao. Nchi hii ni yetu sote, sio mali ya kikundi fulani cha watu.

Nawasilisha.
Aliweka tamaa mbele.
 
Acha uongo yote unasema uongo mtupu. Eti kikeke aliahidiwa usemaji wa serikali?.. Nani alimahidi?
Kwanza ujue kazi za BBC ni za mkataba ukiisha sio lazima uprwe mwingine, na kwamba wafanyakazi wanafanya kazi kufuatana na mwongozo sio huru kabisa kama unavyofikiri. And them tido usisahau alipata kesi ya ufisadi sema tu ushikaji na umaarufu ukamsaidia kufutiwa kesi. Aliingiza TBC mkataba wa ovyo kabisa na star times ikawa kama star times wamemilikishwa haki zote za tbc.
 
Wewe ni mbishi wa kiswahili. Unapobisha jambo toa ushahidi. Usibishe tu kama upo kwenye kijiwe cha ghahawa.
 
Serikali Ina kazi nyingi kama aliahidiwa atapewa just relux
 
Huyu tunamjua vizuri,anajidai mjanja na huko UK si alioa mzungu ili apate makaratasi ya kudumu ,na akamuacha mkewe (Rukia Mtingwa) Kisa tamaa ya uraia wa kwa Malkia Elizabeth. Yaani anataka kazi serikalini kwa nguvu zote. Labda atapewa hata ka ukuu wa wilaya si unajua anategemea connection ya Zuu.
Sasa nimeelewa kwanini unamuandama mno Salim. Fanya mpango mrudiane mkuu. Afu Salim ni muislamu, ana uhuru wa kuoa hadi wake wanne. Acha wivu wa kike; kizuri kula na wenzako.
 
Acha uongo yote unasema uongo mtupu. Eti kikeke aliahidiwa usemaji wa serikali?.. Nani alimahidi?
Kwanza ujue kazi za BBC ni za mkataba ukiisha sio lazima uprwe mwingine, na kwamba wafanyakazi wanafanya kazi kufuatana na mwongozo sio huru kabisa kama unavyofikiri. And them tido usisahau alipata kesi ya ufisadi sema tu ushikaji na umaarufu ukamsaidia kufutiwa kesi. Aliingiza TBC mkataba wa ovyo kabisa na star times ikawa kama star times wamemilikishwa haki zote za tbc.
[emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna salamu hapa, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kama ilivyokuwa kwa Tido Mhando aliyetolewa BBC na kuletwa kusimamia TBC, ndivyo ilivyokuwa kwa Salim Kikeke. Taarifa za kiintelejensia zinapenya kuwa ndugu Kikeke aliombwa kung’atuka BBC ili arudi nchini kuandaliwa kuwa msemaji wa serikali. Baada ya kufika nchini alisubiri kwa muda mama aachie nafasi ya uteuzi bila mafanikio. Ndipo akaamua kwenda kujishikiza pale EFM ili mama akipangua nafasi za uteuzi yeye ateuliwe kuwa msemaji wa serikali. Inavyoonekana ni kama vetting bado ilikuwa haijakamilika.

Baadaye upekuzi ulipofanyika kwa kina zaidi, ikaonekana nafasi ya usemaji wa serikali haitamfaa. Nafasi ile inamfaa mtu muongeaji na mwenye uwezo wa kuelekezwa kusema uongo akatoka hadharani kuusema na kuutetea kwa macho makavu. Kikeke ni mtu wa msimamo na asiyefundishwa nini cha kuongea. Ni mtu mwenye kusimamia maadili ya habari na anamuogopa Mungu. Ni vigumu sana kumwambia aende hadharani kusema uongo kwa lengo tu la kutetea jambo au madudu ya serikali.

Hiki ndiko kilichomponza kijana wa watu licha ya kushawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi na serikali lakini kazi aliyoahidiwa amekuja kupewa mtu mwingine. Wafanyakazi wa BBC huwa wanafundishwa maadili ktk taaluma ya habari yanawafanya waive sawasawa na kutokubali kuyumbishwa.

Tukumbuke pia Tido Mhando misimamo yake ni sawa na ya Kikeke. Tido aliombwa kurudi nchini akapewa TBC. Baada ya kunyesha msimamo usioyumba katika kusimamia ukweli kwenye habari, serikali ikamtupa nje na kisha kumfungulia kesi ya bandia ya uhujumu uchumi. Mpaka sasa nadhani hiyo kesi anateseka nayo mahakamani.

Kumbuka mtu kaacha kazi BBC anakolipwa mamilioni ya paundi za kingereza anashawishiwa kurudi nyumbani apewe kazi nzuri halafu hapewi! Hii sio sawa. Kama kazi hakuna au huna uhakika wa kumpa kazi, ni bora wangemuacha abaki BBC aendelee kuvuna paundi zake angerudi nyumbani afungue media awaajiri vijana wenzake.

Tazama mfano wa Abdalla Bulembo Majura aliyevuna paundi za kutosha akiwa BBC aliporudi nyumbani amefungua kituo cha redio ABM FM kule Dodoma amewaajiri vijana wa kitanzania wanapata ridhiki zao za kila siku bila tatizo. Kama Kikeke angeachwa aendelee kukaa BBC hadi astaafu angerudi nchini akiwa na paundi za kutosha akafungua kituo cha TV au redio akawaajiri vijana wenzake. Sio haki kumuahidi mtu kuacha kazi ya pesa nyingi halafu anarudi nyumbani kwa matumaini ya kupewa kazi, anatoswa mazima. Tabia hii sio nzuri na haitoi mfano mzuri kwa vijana wachapa kazi kama Kikeke.

USHAURI WANGU
Naishauri serikali impangie kazi nyingine ndugu Salim Kikeke kwa kuwa wameamua kugawa nafasi yake kwa mtu mwingine kinyume na makubaliano. Huu mchezo wa kutosana ukiendelea, itakuwa vigumu kuwashawishi vijana wezalendo kutoka ughaibuni kurudi nyumbani kuitumikia nchi yao. Nchi hii ni yetu sote, sio mali ya kikundi fulani cha watu.

Nawasilisha.
..mtu ndani ya miaka mitatu anasoma degree mbili katika chuo hicho, jiongeze
1696262960589.png
 
Attachments

Mkuu achana na watanzania hawa wame laanika

Wana chuki na ma wivu tu...

Wanamponda kikeke eti hana shule, isitoshe wao hapo walipo ni maskini choka mbaya...!!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
halafu utasikia kila siku kwamba hakuna kazi Tanzania, kumbe ni uvivu wa kufikiri tu, huyu bwana ningependa sana nimtolee mfano, bahati yake hajatoa contacts zake maana ningeanza naye ligi huko kwa pilato ninapopatia kipato changu cha kila siku... Hili jambo la kikeke kama ni la kweli , ni la ajabu sana. Kumaliza kipaji cha mtu hivi hivi si jambo jema kwa kweli... ni vema wangemwacha huko huko BBC kuliko kumrudubuni halafu anakuka kuishia vijeridio vya ajabu ajabu...
 
Nimesoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ila sijafikia level ya kutojua mambo kama akili yako. Sasa unaongea nini? Unasema UK hawathamini elimu halafu unakuja na hoja tena watoto wako wasomi mpaka wamekuwa wakufunzi hauoni kama hauna mwelekeo. Nahisi wewe uzee unakusumbua. Tulia ulee wajukuu.
Toa contacts zako twende tufanye ligui kwa pilato... si unataka...
 
Huyo nae aliwekwa tu hapo kwa vile Mama hakuwa na jinsi baada ya kumuondoa ukurugenzi wa mawasiliano ikulu,si unaona Samia kamuondoa. Zamani kabisa enzi ya JK ninakumbuka alikuwepo hapo mtoto wa Kawawa ambae shule ipo.Yule binti alisoma UDSM.
Je unaweza kunionyesha mapungufu ya msigwa wakati yupo msemaji wa serikali?
 
Back
Top Bottom