Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

Ndugu, labda na au hunijui na hilo box pia. umekaririshwa kwamba ukienda huko ni kubeba box, kama walibeba ni wao , sio wote.
Jua tu kwamba hayo niliyo yasema ni kweli tupu. Huko UK nimeishi si chini ya miaka 23, nina watoto ambao kwa sasa ni lecturers wa Oxford na Cambridge na nimefanya kazi ya Sheria kama Top QC na au KC kwa zaidi ya miaka 15 ktk tassisi zinazo heshimika duniani mpaka Tanzania pia achilia mbali serikali ya Uingereza yenyewe. Hivyo ukiwa unataka ligi, jiandae. Sasa sema uongo wangu uko wapi ili hali kwa mfano mdogo tu ukitoka huko bongo na masters hawaithamini sana huko UK, na lazima uwe kitchen porter kwanza. Kama unataka ligi, weka contacts zako nikufungulie kesi tuone utachomoka vipi. Ni tumie kwenye private message kama unaogopa kuzimwaga hapa ili tuone muongi ni nani. Mwana kulitafuta , mwana kulipata, twende kwa pilato, si unataka...
Kujali ubora wa Elimu na kujali uzoefu wa kazi ni vitu viwili tofauti.
 
Hana degree yule wewe.Ana diploma ya chuo cha kilimo Tangeru. Yule amalize Masters UK na aspost picha akiwa na Joho la graduation na kupost cheti chake ?
 
Kikekeke unajipigia kampein. 🤣
 
Ni lazima upost kwa "grandiosity"?!!

Ndio maana wabongo mnakuwa maskini kwa kupenda kuiga....

Mimi nilimaliza "prestige univ" na wala sikupost IG wala kokote....

Badilika wewe "Nkwimba" [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huwa ninawashangaa watu wanaokuwa nje ya nchi wana kazi zao za maana wanahadaika kirahisi waache kazi za maana huko waliko waje kuitumikia serikali ya ccm. Huwa ninawashangaa sana.
 
Ni lazima upost kwa "grandiosity"?!!

Ndio maana wabongo mnakuwa maskini kwa kupenda kuiga....

Mimi nilimaliza "prestige univ" na wala sikupost IG wala kokote....

Badilika wewe "Nkwimba" [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yule kwa tabia yake ya kupost maisha yake,Hawezi acha kujipost akipokea ganda la Uni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…