aah kumbe sio kosa lako ndugu yangu- ungalau umesoma kule kwa " Father dead Mother dead, now job". Nimekuelewa.. samahani, nilidhani ni wa level ya kuelewa maana ya QC au KC. nilikosea sana kusema maneno hayo. Jiongeze huko kwa wenye kiona mbali na usiishie hapo UDSM pekee...
Chukua mchOngo huu wa scholarship wa sheving labda utakusaidia, deadline bado hadi 6 Nov 2023:
Apply | Chevening jaribu bahati yako ukaangaze macho na kuyatoa tongotongo usije sema hukujua....au Mtafute professor Makumila akupe mchongo wa Fulbright, ukishindwa huko, nenda jengo la umoja wa vijana palipokuwa makao makuu ya Unesco zamani na tafuta kitabu kinaitwa "study abroad prospectus", humo kuna ma-scholarships kibao ya kukusaidia kupanua mawazo duniani mpaka kwa mzee Yutong. Yote haya ni kwa kukusaidia tu. Kama hutaki, ruksa kupuuzia ushauri, mjumbe hauwawi... na ukitaka ushauri zaidi, ni pm nikusaidie jinsi dunia inavyo zunguka, sio kimatango pori kwa mlivyo karirishwa UDSM.