P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
Wengi hawamjui cheetah ni yupi
Haswa. leopard ni yupi ?, na jaguar ni yupi ?
Kutokana na ufanano wao wanyama hao tofauti watau wanafananishwa sana !
Hanatofautiana katika asili yao, namna yao ya maisha na uwindaji wao.
Hii ni thread maalum ya cheetah, je cheetah ni nani ?
Master of speed. Cheetah (duma)
Ana utofauti mkubwa na big cats wote ( Simba,. chui na Jagua ) huenda akachukulowa kuwa na chimbuko ka kipekee tofauti na big cats !
Huyu ndo Cheetah mnyama. mwenye kasi kuliko mnyama yeyote kwenye ardhi !!!
Mnyama mwenye mafanikio zaidi katika uwindaji wake kuliko big cats wote !
CHEETAH !