Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Pole Sanaa ndugu, wife alipata miscarriage nusla nipige nesiii! Wife anateseka amwangalia tu.Mungu mwema jaribu Hilo lilipita ingawa mpaka Leo nawenge na hospital zetu.
Kwa hospitali zetu, matibabu bila pesa jiandae kufa mkuu...nliwahi kumpoteza dada yangu kusa kukosekana damu wakati akijifungua.nMungu ni mwema, mtoto alibaki.