Cheka sana, kula raha sana, Ruka sana, Tamba sana, Jirushe sana, Fanya starehe sana ila Omba ukiugua usije kupatiwa Matibabu kwenye Hospitali zetu!

Cheka sana, kula raha sana, Ruka sana, Tamba sana, Jirushe sana, Fanya starehe sana ila Omba ukiugua usije kupatiwa Matibabu kwenye Hospitali zetu!

We mtoa mada nikuulize kwani hivyo vyombo huwa vinaoshwa kwa nini?

Labda kwa faida ya wengine.

Kwenye kuandaa hivyo vyombo kuna hatua kadhaa za mfuatano.

1. Kuosha kwa maji( maji ya kawaida)

2. Kuosha kwa maji ya sabuni.

3.kuviweka kwenye maji yenye Chlorine kwa Dk 10.

4.kuosha kwa maji yenye sabuni.

5. Una malizia kwa maji yasiyo na sabuni.

Then vyombo vinakaushwa, kufungwa na kupelekwa Sterilization.

Huyo kwenye picha alikuwa anafanya hatua namba 5.
Na hili la kuvimwaga chini unalionaje mkuu
 
Sawa Dokta Bingwa wa magonjwa ya upasuaji
 
Hata sielewi mnazungumzia nini
Afya kiujumla?
Magonjwa ya zinaa?
Au Ukimwi?
 
Watanzania wape picha maneno watajazia...ni kweli huyo mhudumu amekosea hasa kwenye suala la IPC,lkn hivyo vyombo sio kweli kwamba vinatumika kuhudumia wagonjwa,hivyo vyombo vimetolewa stool na vilikua vimechanganywa vipya na vya zamani,huyo mhudumu ni mfanya usafi anatenga hivyo vyombo ili vile vipya viweze kuwekwa kwenye matumizi...hakuna hospital inayoweza kusafisha vyombo kwa njia hiyo,hizo hospital ulizotaja umeshawahi kwenda pata huduma?au umekaa ukaamua kuandika tu.
Ufafanuzi wa hiyo clip imetolewa na ofisi ya Mkurugenz manispaa ya Temeke...tusiwe wepesi kurusha kila kitu kinachowekwa kwenye mitandao.
 
We mtoa mada nikuulize kwani hivyo vyombo huwa vinaoshwa kwa nini?

Labda kwa faida ya wengine.

Kwenye kuandaa hivyo vyombo kuna hatua kadhaa za mfuatano.

1. Kuosha kwa maji( maji ya kawaida)

2. Kuosha kwa maji ya sabuni.

3.kuviweka kwenye maji yenye Chlorine kwa Dk 10.

4.kuosha kwa maji yenye sabuni.

5. Una malizia kwa maji yasiyo na sabuni.

Then vyombo vinakaushwa, kufungwa na kupelekwa Sterilization.

Huyo kwenye picha alikuwa anafanya hatua namba 5.
Mbona hujasema kama akiviosha anatakiwa avitandaze chini ili vikauke?

Pia kwenye video haionyeshi hata kama kuna sehemu maalum ya kuoshea vyombo, hii nayo ipo kwenye hizo hatua?
 
Watanzania wape picha maneno watajazia...ni kweli huyo mhudumu amekosea hasa kwenye suala la IPC,lkn hivyo vyombo sio kweli kwamba vinatumika kuhudumia wagonjwa,hivyo vyombo vimetolewa stool na vilikua vimechanganywa vipya na vya zamani,huyo mhudumu ni mfanya usafi anatenga hivyo vyombo ili vile vipya viweze kuwekwa kwenye matumizi...hakuna hospital inayoweza kusafisha vyombo kwa njia hiyo,hizo hospital ulizotaja umeshawahi kwenda pata huduma?au umekaa ukaamua kuandika tu.
Ufafanuzi wa hiyo clip imetolewa na ofisi ya Mkurugenz manispaa ya Temeke...tusiwe wepesi kurusha kila kitu kinachowekwa kwenye mitandao.
We mseng£ ,yaani wewe kwa akili zako unaamini maneno ya wapumbavu hao wa serikalini wasiowajibika ? ,Ulitarajia wakubali makosa na uzembe huo ?
Wewe kwa kutumia akili yako unaona huyo anayeishi vyombo kameet standards za hygiene kama inavyotakiwa kwenye kusafisha vifaa tiba ? ,medical tools zinaoshwa kiseng£ hivyo na kutandazwa chini ? , hospitali hamna hata sehemu ya kuoshea vyombo vya upasuaji ,vifaa tiba vinaoshwa kama vyombo mamantilie wa Buguruni anavyoosha vyombo vya chakula .
Huwezi kutumia akili kuona kwamba kuna makosa makubwa hapo kwenye suala la utakatishaji wa hivyo vifaa tiba wewe taahira ?
 
We mseng£ ,yaani wewe kwa akili zako unaamini maneno ya wapumbavu hao wa serikalini wasiowajibika ? ,Ulitarajia wakubali makosa na uzembe huo ?
Wewe kwa kutumia akili yako unaona huyo anayeishi vyombo kameet statndards za hygiene kama inavyotakiwa ,medical tools zinaoshwa kiseng£ hivyona kutandazwa chini , hospitali hamna hata sehemu ya kuoshea vyombo vya upasuaji ,vyombo vinauzwa kama mamantilie wa Buguruni anavyoosha vyombo vya chakula .
Huwezi kutumia akili kuona kwamba kuna makosa makubwa hapo kwenye suala la utakatishaji wa hivyo vifaa tiba wewe taahira ?
Kutukana watu humu mitandaoni unajiona mjanja,...yawezekana bado unalelewa kwenu au kwa shemeji yako,walistaarabika huwezi ona wakitukana watu wasiowafahamu bali hujibu hoja kwa hoja...nimekudharau kwa sababu hayo malezi yawezekana hata wazazi wako sio waliyokufundisha...jifunze kusheshimu watu unaowaona na usiowaona kwa sura zao pia...usijifanye kua HERO wa kautakana watu mitandaoni.
 
Ni kweli kabisa hospitali za serikali ni mtihani mkubwa. Binafsi kuna siku nishawahi kumpeleka mtoto alikuwa anachemka hatari. Wakampiga malaria, full blood ,,uti hamna. Nikauliza sasa kama vyote hivi hana mbona anachemka,,tatizo nini Daktari alichonijibu kwani kila kuchemka ni malaria. Ikabidi nimjibu sina maana hiyo naomba kujua changamoto nini maana wewe ndo mtaalam. Wakabaki kimya wala hawakunijibu. Wakaniandikia dawa za kupunguza joto. Lkn mi sikuridhika ikabidi niende hospitali ya private wakasema ngoja tumpime choo na typhoid. Kweli majibu kutoka choo hakikuwa na shida ila alikuwa na typhoid.

Nikabaki najiuliza kwa daktari ambaye amesomea anajua kabisa baada ya vipimo vya kwanza kutokuwa na shida alishindwa nini kutoa nafasi ili vifanyike vipimo vingine.

Ki ukweli Mungu tu atusaidie. Kujisemea na wajumbe humu tutafute hela jamani Unaweza poteza uhai kwa uzembe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli umaskini kitu kibaya sana nakumbuka wakati fulani tulishindwa kuutoa mwili mochuari kisa 3.5m tunadaiwa we acha br kichwa kilitaka kupasuka ila namshukuru Mungu tulipambana kama wanafamilia mpaka kwenye vikoba tukautoa
Ulijifunza kwa njia ngumu
 
Back
Top Bottom