Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Kwa hospitali zetu, matibabu bila pesa jiandae kufa mkuu...nliwahi kumpoteza dada yangu kusa kukosekana damu wakati akijifungua.nMungu ni mwema, mtoto alibaki.
Rudia comment yako #11, halafu uniambie Sterilization procedure kwa vifaa vilivyotumikaYaani nachopotosha hapo ni kitu gani?
Subiri ufie hapo Bongo na vipesa vyako uchwara ndio utajua upo third world countryinaonekana kwenu mnakufa na magonjwa ya zinaa na pombe, imekuuma hadi umekuja kutujazia wosia JF, ukidhani wote wanao umwa ni sababu ya starehe mbaya 🤣😅 tafuta pesa uishi maisha mazuri ili usionee wivu watu na starehe zao
Mzee unataka tu ku-justify hoja yako. Hayo mambo ya vitu vya upasuaji kuoshwa na maji ya baridi kwa sasa hayapo. Hizi sio zile enzi za kuchemsha vifaa. Kifaa kikitumika kinatupwa. Waambie watu watumie hela zao vizuri waondokane na umaskini. Tuko kwenye ubepari hakuna huruma kabisa.Mkuu kuna nchi masikini lakini huduma zao za afya ni bora sana,sasa kama Tanzania vitu vya upasuaji vinaoshwa kwa maji baridi na sabuni tena na mfanyakazi asiye na glovsi hilo pia ni umasikini.
Angalia video nimekuwekea hapoMzee unataka tu ku-justify hoja yako. Hayo mambo ya vitu vya upasuaji kuoshwa na maji ya baridi kwa sasa hayapo. Hizi sio zile enzi za kuchemsha vifaa. Kifaa kikitumika kinatupwa. Waambie watu watumie hela zao vizuri waondokane na umaskini. Tuko kwenye ubepari hakuna huruma kabisa.
Pointi kubwa mno!Mada muhimu mno ila inachangiwa na watoto wa form 2,Tanker imeteketea kwa moto pale Igawa, kisa hakuna huduma za wazima moto, ila kuna fedha za kununua V8 ya mkuu wa wilaya,mbunge,DED etc, yes mkuu nasisitizia Tanzania pesa, usijikute umelazwa kwenye hizi nyumba zilizopewa jina la hospital's wakati hazina viwango vya kuitwa hospital's
Unaishi wapi ?Mzee unataka tu ku-justify hoja yako. Hayo mambo ya vitu vya upasuaji kuoshwa na maji ya baridi kwa sasa hayapo. Hizi sio zile enzi za kuchemsha vifaa. Kifaa kikitumika kinatupwa. Waambie watu watumie hela zao vizuri waondokane na umaskini. Tuko kwenye ubepari hakuna huruma kabisa.
Huna akiliinaonekana kwenu mnakufa na magonjwa ya zinaa na pombe, imekuuma hadi umekuja kutujazia wosia JF, ukidhani wote wanao umwa ni sababu ya starehe mbaya 🤣😅 tafuta pesa uishi maisha mazuri ili usionee wivu watu na starehe zao
Changamoto za waziwazi ni kuonyesha serikali haiko serious na suala la Afya kwa watu wake.Changamoto hizo zipo, kuzikimbia ni ngumu, vinginevyo labda uwe na hospitali yako pamoja na madaktari wako.
kweli umaskini kitu kibaya sana nakumbuka wakati fulani tulishindwa kuutoa mwili mochuari kisa 3.5m tunadaiwa we acha br kichwa kilitaka kupasuka ila namshukuru Mungu tulipambana kama wanafamilia mpaka kwenye vikoba tukautoaKimsingi KATAA UMASKINI. Tutazilaumu hospitali ila chanzo cha yote ni umaskini. Umaskini ni janga
SaadKwa hospitali zetu, matibabu bila pesa jiandae kufa mkuu...nliwahi kumpoteza dada yangu kusa kukosekana damu wakati akijifungua.nMungu ni mwema, mtoto alibaki.