Na hili la kuvimwaga chini unalionaje mkuuWe mtoa mada nikuulize kwani hivyo vyombo huwa vinaoshwa kwa nini?
Labda kwa faida ya wengine.
Kwenye kuandaa hivyo vyombo kuna hatua kadhaa za mfuatano.
1. Kuosha kwa maji( maji ya kawaida)
2. Kuosha kwa maji ya sabuni.
3.kuviweka kwenye maji yenye Chlorine kwa Dk 10.
4.kuosha kwa maji yenye sabuni.
5. Una malizia kwa maji yasiyo na sabuni.
Then vyombo vinakaushwa, kufungwa na kupelekwa Sterilization.
Huyo kwenye picha alikuwa anafanya hatua namba 5.
Kivimwaga chini si sawa.Na hili la kuvimwaga chini unalionaje mkuu
Sawa Dokta Bingwa wa magonjwa ya upasuajiWe mtoa mada nikuulize kwani hivyo vyombo huwa vinaoshwa kwa nini?
Labda kwa faida ya wengine.
Kwenye kuandaa hivyo vyombo kuna hatua kadhaa za mfuatano.
1. Kuosha kwa maji( maji ya kawaida)
2. Kuosha kwa maji ya sabuni.
3.kuviweka kwenye maji yenye Chlorine kwa Dk 10.
4.kuosha kwa maji yenye sabuni.
5. Una malizia kwa maji yasiyo na sabuni.
Then vyombo vinakaushwa, kufungwa na kupelekwa Sterilization.
Huyo kwenye picha alikuwa anafanya hatua namba 5.
Sawa wewe fia huko bila marinda waarabu wakutupe mtaroniSubiri ufie hapo Bongo na vipesa vyako uchwara ndio utajua upo third world country
Uarabuni?? Umeshiba maharage yako hapo unakurupuka kuandika ujinga.Sawa wewe fia huko bila marinda waarabu wakutupe mtaroni
Mbona hujasema kama akiviosha anatakiwa avitandaze chini ili vikauke?We mtoa mada nikuulize kwani hivyo vyombo huwa vinaoshwa kwa nini?
Labda kwa faida ya wengine.
Kwenye kuandaa hivyo vyombo kuna hatua kadhaa za mfuatano.
1. Kuosha kwa maji( maji ya kawaida)
2. Kuosha kwa maji ya sabuni.
3.kuviweka kwenye maji yenye Chlorine kwa Dk 10.
4.kuosha kwa maji yenye sabuni.
5. Una malizia kwa maji yasiyo na sabuni.
Then vyombo vinakaushwa, kufungwa na kupelekwa Sterilization.
Huyo kwenye picha alikuwa anafanya hatua namba 5.
We mseng£ ,yaani wewe kwa akili zako unaamini maneno ya wapumbavu hao wa serikalini wasiowajibika ? ,Ulitarajia wakubali makosa na uzembe huo ?Watanzania wape picha maneno watajazia...ni kweli huyo mhudumu amekosea hasa kwenye suala la IPC,lkn hivyo vyombo sio kweli kwamba vinatumika kuhudumia wagonjwa,hivyo vyombo vimetolewa stool na vilikua vimechanganywa vipya na vya zamani,huyo mhudumu ni mfanya usafi anatenga hivyo vyombo ili vile vipya viweze kuwekwa kwenye matumizi...hakuna hospital inayoweza kusafisha vyombo kwa njia hiyo,hizo hospital ulizotaja umeshawahi kwenda pata huduma?au umekaa ukaamua kuandika tu.
Ufafanuzi wa hiyo clip imetolewa na ofisi ya Mkurugenz manispaa ya Temeke...tusiwe wepesi kurusha kila kitu kinachowekwa kwenye mitandao.
Kutukana watu humu mitandaoni unajiona mjanja,...yawezekana bado unalelewa kwenu au kwa shemeji yako,walistaarabika huwezi ona wakitukana watu wasiowafahamu bali hujibu hoja kwa hoja...nimekudharau kwa sababu hayo malezi yawezekana hata wazazi wako sio waliyokufundisha...jifunze kusheshimu watu unaowaona na usiowaona kwa sura zao pia...usijifanye kua HERO wa kautakana watu mitandaoni.We mseng£ ,yaani wewe kwa akili zako unaamini maneno ya wapumbavu hao wa serikalini wasiowajibika ? ,Ulitarajia wakubali makosa na uzembe huo ?
Wewe kwa kutumia akili yako unaona huyo anayeishi vyombo kameet statndards za hygiene kama inavyotakiwa ,medical tools zinaoshwa kiseng£ hivyona kutandazwa chini , hospitali hamna hata sehemu ya kuoshea vyombo vya upasuaji ,vyombo vinauzwa kama mamantilie wa Buguruni anavyoosha vyombo vya chakula .
Huwezi kutumia akili kuona kwamba kuna makosa makubwa hapo kwenye suala la utakatishaji wa hivyo vifaa tiba wewe taahira ?
yaan nyie chawa huwa mnauwezo mdogo sana wa kufikiriKimsingi KATAA UMASKINI. Tutazilaumu hospitali ila chanzo cha yote ni umaskini. Umaskini ni janga
Ulijifunza kwa njia ngumukweli umaskini kitu kibaya sana nakumbuka wakati fulani tulishindwa kuutoa mwili mochuari kisa 3.5m tunadaiwa we acha br kichwa kilitaka kupasuka ila namshukuru Mungu tulipambana kama wanafamilia mpaka kwenye vikoba tukautoa
Mungu akikupa shida anajua namna utapambana nayoUlijifunza kwa njia ngumu