Cheki hapa Mubashara Wayne Rooney na kikosi cha Everton walivotua Dar

Kama alishindwakwenda msibani kwa wahanga wa tetemeko atakujaje kwenye hii burudani!
Hii itaingia kwenye rekodi ya maajabu ya dunia
 
Magufuli ni original Jioni Kisomo.

Hata lile Jina John wanamuita, jina lake ni Jioni Kisomo.

Sasa Jioni Kisomo ma Everton wapi na wapi.

Hapo angekuwepo mwenyewe JK hata dhifa wangefanyiwa Ikulu.

Sent from my Kimulimuli
 
Mpka sas hivi kwa upande wangu umenifurahisha sana kwa kumuachia Waziri husikia kushughulika na hawa macho bluu Everton, na ningefarijika zaidi kama ukiendelea na likizo yako na usiikatize kwa ajili ya kuonana nao, Waziri wetu wa Michezo na Sanaa Mwakyembe anatosha, hivi ndivyo inavyopaswa kuendeshwa kwa maoni yangu, ...
Kwani wewe hutaki timu ya Everton ipate nafasi adhimu sana ya kukutana na mtakatifu sana asiyejaribiwa?
 
Magufuli ni original Jioni Kisomo.

Hata lile Jina John wanamuita, jina lake ni Jioni Kisomo.

Sasa Jioni Kisomo ma Everton wapi na wapi.

Hapo angekuwepo mwenyewe JK hata dhifa wangefanyiwa Ikulu.

Sent from my Kimulimuli

Na huo ndiyo upuuzi nisoupenda, kwa hili naungana na Raisi wangu, binafsi nilikuwa sifagilii kabisa haya mambo ya kuwatukuza macho bluu!
 
Mpka sas hivi kwa upande wangu umenifurahisha sana kwa kumuachia Waziri husikia kushughulika na hawa macho bluu Everton, na ningefarijika zaidi kama ukiendelea na likizo yako na usiikatize kwa ajili ya kuonana nao, Waziri wetu wa Michezo na Sanaa Mwakyembe anatosha, hivi ndivyo inavyopaswa kuendeshwa kwa maoni yangu, ...

Sawa mwaky tumekusikia.
 
Macho bluu bluu ni nani?

England-Training-and-Press-Conference.jpg
 
Mpka sas hivi kwa upande wangu umenifurahisha sana kwa kumuachia Waziri husikia kushughulika na hawa macho bluu Everton, na ningefarijika zaidi kama ukiendelea na likizo yako na usiikatize kwa ajili ya kuonana nao, Waziri wetu wa Michezo na Sanaa Mwakyembe anatosha, hivi ndivyo inavyopaswa kuendeshwa kwa maoni yangu, ...
Kwani Hua anakosea?
 
It depend if football fun sio mbaya akakatiza likizo kuja kujumuika na watz wapenda michezo hususan football
 
Hoja dhaifu umeleta!
"Baniani mbaya, kiatu chake dawa"ndicho unachofanya hapa.

Hoja dhaifu unaipinga kwa kuonyesha udhaifu wake.

Ukisema tu "hoja dhaifu" wewe unakosa hata hoja ya kuipinga hoja dhaifu na kujionyesha una udhaifu kuliko mwenye hoja dhaifu, kama kwelihoja yakeni dhaifu.

Zaidi,inawezekana tu hoja haina udhaifu wowote, umeshindwa kuijibu,ukajiandikia tu "hoja dhaifu".

Kitu ambacho kichaa yeyote anaweza kuandika.
 
Internet haijaletwa na Muzungu pekee, bali ni kazi ya Binadamu wengi wa Dunia hii, kila mtu ana mchango wake!
 
Back
Top Bottom