The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Kumbuka, kabla North Korea hajapata nuke yoyote alidharaulika hivi hivi kama Iran anavyodharaulika na kuletewa mizengwe.
Sasa hivi North Korea inaheshimika na hata yule kichaa wa west kaacha kutikisa pua yake kwenye mambo yasiyomhusu.
HISTORIA:
Kifaa cha kwanza cha nyuklia cha Korea Kaskazini kilichojaribiwa na kuthibitishwa kilijengwa na kulipuliwa mwaka 2006. Hasa, jaribio lao la kwanza la nyuklia lilifanyika tarehe 9 Oktoba 2006 katika eneo la majaribio la Punggye-ri. Hili lilikuwa mlipuko wa kwanza wa nyuklia kuthibitishwa rasmi kufanywa na Korea Kaskazini.
#NONUCLEAR_NORESPECT