Hivi unaelewa maisha wanayoishi wananchi wa North Korea?Kumbuka, kabla North Korea hajapata nuke yoyote alidharaulika hivi hivi kama Iran anavyodharaulika na kuletewa mizengwe.
Sasa hivi North Korea inaheshimika na hata yule kichaa wa west kaacha kutikisa pua yake kwenye mambo yasiyomhusu.
HISTORIA:
Kifaa cha kwanza cha nyuklia cha Korea Kaskazini kilichojaribiwa na kuthibitishwa kilijengwa na kulipuliwa mwaka 2006. Hasa, jaribio lao la kwanza la nyuklia lilifanyika tarehe 9 Oktoba 2006 katika eneo la majaribio la Punggye-ri. Hili lilikuwa mlipuko wa kwanza wa nyuklia kuthibitishwa rasmi kufanywa na Korea Kaskazini.
#NONUCLEAR_NORESPECT
North Korea na South Korea hapo mwanzo zilikuwa zinakaribiana kiuchumi, huko uchumi wa North ukiwa mkubwa kidogo kuzidi wa South Korea.
Leo North Korea ipo kwenye uduni wa maisha usiozoeleka, ikitegemea misaada ya kuwalisha watu wake. Kwa sasa uchumi wa South Korea ni mkubwa mara 80 ya ule wa North Korea. Maisha ya wananchi wa North Korea ni sawa na jehanamu, ndiyo maana Serikali yao inawazuia wananchi wake kutoka nje ya nvhi, la sivyo wananchi karibia wote wangeondoka North Korea.
. Economic Challenges and Performance of North Korea:
- North Korea faces chronic economic problems, including food shortages and reliance on international aid.
- International sanctions, imposed due to its nuclear and missile programs, further constrain the economy.
- The country's economy is significantly smaller than South Korea's, with nominal GDP being around 1/60th of the South Korea.
North Korea faces widespread poverty, with an estimated 60% of its population living below the poverty line.
- Lack of Access to Healthcare and Essential Services:
Many North Koreans lack access to adequate healthcare, food, and other essential services, leading to poverty-related diseases and health problems.
- Food Insecurity:
A significant portion of the population faces chronic food shortages and inadequate food supplies.
- Limited Access to Healthcare:
Many North Koreans lack access to basic healthcare, leading to preventable illnesses and deaths