The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Hapana ni siasa tuHivi ina maana korea kaskazin anaweza kutuma hili bomu mpka new York?
Kama ni hivyo, kwa nini Israel anaweweseka? Uwezekano wa kuunda ni mkubwa sana tena wapo karibu sana kukamilisha. Tatizo la Iran ni moja; kujifanya inaheshimu sheria na mikataba.Itachukua miaka mingi
Hiyo fursa imewatoka.Hivi ina maana korea kaskazin anaweza kutuma hili bomu mpka new York?
Iran haikuwa na nia njema, ndio maa ikaunda vikundi vya kigaini dhidi ya IsraelKama ni hivyo, kwa nini Israel anaweweseka? Uwezekano wa kuunda ni mkubwa sana tena wapo karibu sana kukamilisha. Tatizo la Iran ni moja; kujifanya inaheshimu sheria na mikataba.
nakupa hiyo najua utabisha kamwe Iran haitoachiwa na Israel imiliki silaha za nyuklia maana the day wanamiliki basi watataka kutimiza kiapo chao cha kuifuta Israel duniani kwa hiyo Israel 24/7 yuko macho kuchunguza mienendo yooote ya Iran kuhakikisha kamwe hawi na silaha za nyuklia.Kumbuka, kabla North Korea hajapata nuke yoyote alidharaulika hivi hivi kama Iran anavyodharaulika na kuletewa mizengwe.
Sasa hivi North Korea inaheshimika na hata yule kichaa wa west kaacha kutikisa pua yake kwenye mambo yasiyomhusu.
HISTORIA:
Kifaa cha kwanza cha nyuklia cha Korea Kaskazini kilichojaribiwa na kuthibitishwa kilijengwa na kulipuliwa mwaka 2006. Hasa, jaribio lao la kwanza la nyuklia lilifanyika tarehe 9 Oktoba 2006 katika eneo la majaribio la Punggye-ri. Hili lilikuwa mlipuko wa kwanza wa nyuklia kuthibitishwa rasmi kufanywa na Korea Kaskazini.
#NONUCLEAR_NORESPECT
Uongozi wa Iran ukomeshwe lkn raia wawe salama hawana hatia Waajemi wa watuIran haikuwa na nia njema, ndio maa ikaunda vikundi vya kigaini dhidi ya Israel
Unafahamu kwamba North Korea akituma bomu Marekani ndani ya dakika 30 limeshafika?Hivi ina maana korea kaskazin anaweza kutuma hili bomu mpka new York?
Na hilo bomu haliwezi kabisa kuzuiliwaUnafahamu kwamba North Korea akituma bomu Marekani ndani ya dakika 30 limeshafika?
Punguza mahaba unatoka sana nje ya mada coment zakoUongozi wa Iran ukomeshwe lkn raia wawe salama hawana hatia Waajemi wa watu
Nashukuru nimekupa kazi ya kunifuatilia na unaifanya vizuriPunguza mahaba unatoka sana nke ya mada coment zako
Mazingira yapo tofauti!Uongozi wa Iran ukomeshwe lkn raia wawe salama hawana hatia Waajemi wa watu
Teknolojia ya makombora ilivyofikia sasa kama unafuatilia jinsi muajemi na muisrael wanavyopigana naamini kuna kitu unaweza kuwa umejifunza.Na hilo bomu haliwezi kabisa kuzuiliwa
🤣🤣🤣USA kafailed na Iran walisho zisoma akili za cowards wakamuachia apige empty place 170 Tons pale Fawder tu hahaha na kwingine karibu 28tons X 2 hahaha Trump lazima atajisifia akisema kafailed wanarekani watasema walichagua nwendawazimu.
Kule Israel wanaulizana ziko wapi Nuclear za Iran hawazioni hahaha
Intelijensia yao ililala!Tatizo Iran imejichanganya na maadui sana.