Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Huyo mwana mfalme nimesoma mahali anajiandaa kurudi.Mazingira yapo tofauti!
Mtoto wa kiongozi Shah ambaye baba yake alitolewa madarakani na serikali ya Ayatollah aliingia vitani miaka 2 kupigania nchi yake dhidi ya uvamizi wa Iraq, vita ambayo Iran ilipigana kwa miaka 8.
Kwao (wairan) inatafsirika tofauti kwamba unashambulia nchi yao na kutaka kuiangamiza. Wewe unaweza kuona kuwa unaleta mapinduzi ila kwa wairan ni wanaona unaiangamiza nchi yao. Hivyo, wanapambana kuitetea nchi ijapokuwa wana uwezo wa kuichukia serikali.
Akirudi atapokelewa kama raia na si kama kiongozi.Huyo mwana mfalme nimesoma mahali anajiandaa kurudi.
Pili kuna jamii au baadhi ya Wairani wanauchukia huu utawala
Ndio anayo ICBM inayo weza kubeba vichwa vya nyukliaHivi ina maana korea kaskazin anaweza kutuma hili bomu mpka new York?
Huyo kichaa anaweza hata kuliwa kichwa kabla hata hiyo ndoto yake haijatimiaHuyo mwana mfalme nimesoma mahali anajiandaa kurudi.
Pili kuna jamii au baadhi ya Wairani wanauchukia huu utawala
Vipi kuhusu Pakistan ?North Korea hakuna Dini 🤣
Mnasahau mambo ya msingi sana
Hakuna cha siasa hapo North Korea anazo ICBM ambazo zinaweza fika mpaka U.S na zinaweza kubeba vichwa vya nyuklia na mara zote anapokuwa anafanya majaribio amekuwa akisisitiza kuwa anajiimarisha kwa àjili ya maadui zake Marekani,Korea Kusini, Japan watakipata wakimchokoza maana ana uwezo wa kuwafikia huko huko walipoHapana ni siasa tu
Sawa atengeneze na atulie kimya na sio kuleta vitisho na viapo vya kuyafuta mataifa mengine humu ikifadhili makundi ya kigaidi waziwazi bila aibu.Kumbuka, kabla North Korea hajapata nuke yoyote alidharaulika hivi hivi kama Iran anavyodharaulika na kuletewa mizengwe.
Sasa hivi North Korea inaheshimika na hata yule kichaa wa west kaacha kutikisa pua yake kwenye mambo yasiyomhusu.
HISTORIA:
Kifaa cha kwanza cha nyuklia cha Korea Kaskazini kilichojaribiwa na kuthibitishwa kilijengwa na kulipuliwa mwaka 2006. Hasa, jaribio lao la kwanza la nyuklia lilifanyika tarehe 9 Oktoba 2006 katika eneo la majaribio la Punggye-ri. Hili lilikuwa mlipuko wa kwanza wa nyuklia kuthibitishwa rasmi kufanywa na Korea Kaskazini.
#NONUCLEAR_NORESPECT
Mbona unaruka ruka simamia propaganda moja kama wenzio kuna thread humu umekanusha kwamba marekani hajapiga na ukaleta na kaclip kwamba kupo salama ...huku tena unasimamia kwamba wamepiga ila kapiga empty places.. unatuyumbisha mashabiki zakoUSA kafailed na Iran walisho zisoma akili za cowards wakamuachia apige empty place 170 Tons pale Fawder tu hahaha na kwingine karibu 28tons X 2 hahaha Trump lazima atajisifia akisema kafailed wanarekani watasema walichagua nwendawazimu.
Kule Israel wanaulizana ziko wapi Nuclear za Iran hawazioni hahaha
Hakika Intel ya Iran, ilizidiwa mahala.Intelijensia yao ililala!
Lakini ya jeshi ipo imara na ndiyo ambayo inapambana, ijapokuwa ya nchi kwa sasa inapambana kujiweka sawa na kujisafisha.
Ni dhana ya kijinga sana kuchukia mwiba huku ukiugulia maumivu badala ya kutoaAkirudi atapokelewa kama raia na si kama kiongozi.
Kwa sababu historia juu ya baba yake ipo wazi kuhusu utawala wake ulivyokuwa na uhusiano mbaya na raia wao.
Aidha, kwa sasa jamii nyingi Iran wanamuona kama kibaraka. Kwa sababu unaweza kuichukia serikali yako lakini bado ukaipenda nchi yako.
Kwa namna alivyoibuka kwa sasa jinsi Iran inavyokabiliana na vita vikali halafu kwa yeye anaibuliwa na walewale ambao wanaofanya uharibu ndani ya nchi asili yake wairan wameshindwa kumuelewa.
Christiane Amanpour, ni mwandishi wa habari wa CNN. Asili yake ni Iran. Haupendi utawala wa Ayatollah lakini ameweka msimamo wake wazi kuwa hapendi kuona nchi yake ikipigwa mabomu, kugeuzwa Iraq nyengine.
Huu msimamo ndiyo wanao wengi wa Iran. Wataichukia serikali lakini siyo nchi. Hivyo, ukiivamia nchi, wao wataungana na kuutetea uhuru wa nchi yao kwanza kabla ya mengine.
Poleni sana hio channel ya Saud Arabia wanaharibu kuonyesha USA kama kafanikiwa kuidestroyed Fawder Nuclear Facility. Afu wao wenyewe wanajiuliza mbona kama hakuna madhara, hi channel warabu wanaita sio Al Arabiya wanaita Al Abriya channel mana ya Abriya ni Wayahudi hahaha mara nyingi iko against na Iran karibu 99% nilicheka sana.🤣🤣🤣
Ila watu, nyie ndio mnamshauri Samia
Wataalamu wa mambo wanasema co-ordination ni muhimu.Hakika Intel ya Iran, ilizidiwa mahala.
Nchi kwanza Mkuu, mengineyo baadaye!Ni dhana ya kijinga sana kuchukia mwiba huku ukiugulia maumivu badala ya kutoa
Mfa maji haishi kutapatapa....Iran ni wajinga sana,wasingejitokeza kukanusha kuwa walikuwa wameshahamisha maeneo yaliyopiga na Marekani.
Ukisikia nuclear inaweza piga popote dunianiHivi ina maana korea kaskazin anaweza kutuma hili bomu mpka new York?
1. Iran inagawa silaha kwa makundi yasiyo na usimamizi na yasiyo serikali. Hezbollah sio serikali ya Lebanon ila wanaipa silaha, Houthi kabla haijawa serikali waliipa silaha na bado wanaipatia, Hamas wanaipa, Shiite groups za Iraq wanazipa silaha. Sasa wakiwa na nukes si watagawa kama mapera?Kumbuka, kabla North Korea hajapata nuke yoyote alidharaulika hivi hivi kama Iran anavyodharaulika na kuletewa mizengwe.
Sasa hivi North Korea inaheshimika na hata yule kichaa wa west kaacha kutikisa pua yake kwenye mambo yasiyomhusu.
HISTORIA:
Kifaa cha kwanza cha nyuklia cha Korea Kaskazini kilichojaribiwa na kuthibitishwa kilijengwa na kulipuliwa mwaka 2006. Hasa, jaribio lao la kwanza la nyuklia lilifanyika tarehe 9 Oktoba 2006 katika eneo la majaribio la Punggye-ri. Hili lilikuwa mlipuko wa kwanza wa nyuklia kuthibitishwa rasmi kufanywa na Korea Kaskazini.
#NONUCLEAR_NORESPECT
Haiwezi kuchukua miaka mingi tena kwa sababu tayari utaalamu wa nuklia umeishahifadhiwa kwenye bongo za vijana wa kiiran kwa maelfu waliohamasika.Itachukua miaka mingi