Hivi unaelewa maisha wanayoishi wananchi wa North Korea?Kumbuka, kabla North Korea hajapata nuke yoyote alidharaulika hivi hivi kama Iran anavyodharaulika na kuletewa mizengwe.
Sasa hivi North Korea inaheshimika na hata yule kichaa wa west kaacha kutikisa pua yake kwenye mambo yasiyomhusu.
HISTORIA:
Kifaa cha kwanza cha nyuklia cha Korea Kaskazini kilichojaribiwa na kuthibitishwa kilijengwa na kulipuliwa mwaka 2006. Hasa, jaribio lao la kwanza la nyuklia lilifanyika tarehe 9 Oktoba 2006 katika eneo la majaribio la Punggye-ri. Hili lilikuwa mlipuko wa kwanza wa nyuklia kuthibitishwa rasmi kufanywa na Korea Kaskazini.
#NONUCLEAR_NORESPECT
Israel inafadhili waasi wa Sudan, HTS na SDF wa Syria n.k ila akifanya Iran inageuka nongwaIran haikuwa na nia njema, ndio maa ikaunda vikundi vya kigaini dhidi ya Israel
Unafaham kuwa the moment north korea silos zimefunguka america tayari wamesha detect?Unafahamu kwamba North Korea akituma bomu Marekani ndani ya dakika 30 limeshafika?
Sina uhakika kwenye hiloIsrael inafadhili waasi wa Sudan, HTS na SDF wa Syria n.k ila akifanya Iran inageuka nongwa
Zikitumwa B-2 kama 10 hivi kwa kushtukiza, atakuwa na uwezo ata wakurusha jiwe kweli?Hakuna cha siasa hapo North Korea anazo ICBM ambazo zinaweza fika mpaka U.S na zinaweza kubeba vichwa vya nyuklia na mara zote anapokuwa anafanya majaribio amekuwa akisisitiza kuwa anajiimarisha kwa àjili ya maadui zake Marekani,Korea Kusini, Japan watakipata wakimchokoza maana ana uwezo wa kuwafikia huko huko walipo
Naona raia wa Iran wamelazimishwa kuandamana.Uongozi wa Iran ukomeshwe lkn raia wawe salama hawana hatia Waajemi wa watu
ZitumweZikitumwa B-2 kama 10 hivi kwa kushtukiza, atakuwa na uwezo ata wakurusha jiwe kweli?
Chuma kinarejea baada ya kulipua huko Iran, jana.Zitumwe
Hatari jitu hilo.
Hauna uhakika? Kwani Assad alipinduliwa na nani? Si HTS (tawi la al qaeda) huku Israel ikilipua silaha zote za Assad pamoja na kambi zake ili jamaa wapindue kirahisi.Sina uhakika kwenye hilo
Hiyo fursa imewatoka.
Sasa hivi;
1. Wana sayansi wamekimbia kwa miguu wako jangwani hawataki hata kusikia neno nyuklia....wakisikia tu nyuklia wanaona mzimu wa Israel.
2. Khamenei yuko shimoni hana mpango kutoka ameapa kufia shimoni
3. Us na Israel baada ya kuibonda Iran watasalia humo
Asante sana mkuu, kwa maelezo mazuri. Na hiking ndicho naamini. Iran asingekuwa na hilo kosa, sio Israel wala USA kupeleka ndege katika anga laoWataalamu wa mambo wanasema co-ordination ni muhimu.
Military intelligence ya Iran ipo imara. Civilian intelligence iko dhaifu.
Wataalamu wanasema; ikiwa intelijensia ya kijeshi iko imara, nchi inaweza: Kupanga mashambulizi ya kijeshi kwa ufanisi, kugundua haraka adui anapokusudia kushambulia na kuweka majeshi vizuri kimkakati wa kivita. Hii ni faida kwenye medani ya kivita ya moja kwa moja.
Lakini, civilian intelligence service wanasema ni ujasusi wa kimataifa yaani wa kistretijia zaidi. Na ukifeli hapa ndiyo kama matukio yaliyoitokea Iran yanavyowakumba.
Na ndiyo maana Iran ukiangalia kwa sasa hivi inapambana pakubwa sana kwenye kuuweka sawa ujasusi wa ndani kwa kuondoa mashushu wa Mossad, na kwa kiasi fulani wanafanikiwa.
Pengine kivipi? Ni kuweza kupunguza kuharibiwa miundombinu kwa ndani ya nchi, kwa kiasi fulani wamepunguza kudhurika kwa taasisi sa ndani na kasi ya kuuliwa kwa viongozi.
Kwa namna jinsi Iran alivyoshambuliwa, laiti ingelikuwa nchi nyengine basi isingeliweza kunyanyuka. Walipigwa pigo moja kubwa na la hatari sana. Kwa namna ambayo Iran ilivyoweza kuhimili na kujipanga na kupambana wameonyesha kitu kikubwa sana.
Na si ajabu hawakutaka moja kwa moja msaada wa kutoka nje. Wameamua wapambane na wajisafishe wenyewe. Nakumbuka Lissu alivyokuwa anafanyiwa interview kuhusu hali iliyowakuta Chadema alimnukuu Mzee Al Hassan Mwinyi, kuwa:
"Unapofungua madirisha upate hewa basi kila kitu kitaingia. Itaingia hewa, nzi na wadudu wengineo..."
Iran naye katumia njia hii! Laiti angeliruhusu kupokea msaada hali ya kuwa taasisi za usalama wake zipo vibaya ndiyo angeharibikiwa kabisa! Kwa sababu ma-nzi nao wangeliingia humo humo!