Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Unachosema ni cha kweli ndugu yangu ni cha kweli yaani Chelsea ya Scolari ni matatizo matupu hasa big match, yaani tumegangamala hadi dakika za mwisho ndio tunapigwa tena 2 goals ndani ya dkk 4? But we have to look forward.
 
Poleni The Blues!
Man Utd waliwapa kipigo cha mwezi, Liverpool nao wamewaangamiza..
Msijali lakini,ligi bado inaendelea japo mkaze buti!
 
Mkiambiwa mnabisha....mkifungwa Mnapotea!

Gud to be wasindikizaji coz u are used to that!

One Love.. ...One 'United"...other 'United' are FAKE!
 
SCOLARI kaamua kubeba garasa QUARESMA huyo dogo hawezi kucheza mpira nje ya Portugal,alichemsha Barca akaenda Inter nako kachemka
 
Wale ma-Mods wawili nawatafuta (majina nimesahau), siwapati..anyone have any idea where are they?, plz avail me with the info!!!
 
Wale ma-Mods wawili nawatafuta (majina nimesahau), siwapati..anyone have any idea where are they?, plz avail me with the info!!!

tehe tehe tehe wamepotea..... wote hata the gunners kimya na leo watapata kipigo bila shaka.
 
Kocha Mkuu wa timu ya Chelsea ya England ametemwa ukocha. Amefuata njia ya Morinyo.
 
Huyu tajiri wa kirusi ni kiboko!atamaliza mabucha yote nyama ni ile ile
 
Kocha Mkuu wa timu ya Chelsea ya England ametemwa ukocha. Amefuata njia ya Morinyo.

Mourinho was not Sacked. Ila ni good news kwa wapenzi wa Chelsea.
 
Maybe na washika bunduki watamfukuza Mzee Wenger, lol
 
Thanx kwa wale wote waliotupatia pole, but ALUTA CONTINUA; tunaendelea kupambana kiume hadi tone la mwisho la damu yetu. Tunajua kuna watu hawapendi kuona mafanikio ya chama but The Blueswataendela ku-shine even if will take longer.

Mkuu Aljuniortz upo? hili chama la the blues kimya! hata thread yao walishaisahau, haya ndo matatizo ya kutokukubali kushindwa. Kitakachotokea sasa makocha wote wataogopa na wachezaji watatimka zao ndo kufa kwa timu hivyo, very sad.
 
Ohhh Man United wanawachezaji wazee sasa mbona timu kama chelsea imemsack kocha wake kwa nini???Hahahaha mmekwenda na maji kikombe kinakwenda TRAFFORD kama kawaida.............
 
Abramovich alichemsha alipomtema Mourinho, it will take many years to find a better manager than him! Binafsi nadhani Grant alifanya vizuri kuliko huyu Scolari. Nionavyo- Hiddinks ndiye jina kubwa ambalo linaweza kupeleka mafanikio ya haraka darajani kama tajiri mwenyewe anavyotaka lakini kikwazo ni kwamba jamaa ndiye kocha wa timu ya taifa ya Russia na hata huko alipelekwa na Abramovich mwenyewe, labda anaweza akampa hiki kibarua halafu kile cha national team kiwe part time.
 
...mbona the likes of Frank Rijkaard wanakuwa overlooked?,

Rijkaard ana mafanikio makubwa katika Club football kuliko Guus Hiddink ambaye kama Scolari, mafanikio yao zaidi ni katika team za taifa.

Inastaajabisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…