Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acheni kulisaka chama dume(The Blues)!

Bwawa la maini walitangulizwa na baiskeli ya mbao, sasa wamefika kilimani watapandaje? J2 ni kichapo tu, ndio kwanza tumejiweka sawa ktk ligi, watani zetu man u wakae mkao wa kumegwa!!!!
 
Mkuu!

Ngoma za kitoto kawaida huwa hazikeshi!

Inv,Ab et al fomu za usajili za kujiunga na Manutd still zipo, mind u dirisha dogo linakaribia kufungwa hivo!

...mnaumwa nyie.Sisi namba mbili...LOL!
 
Last edited:
Acheni kulisaka chama dume(The Blues)!

Bwawa la maini walitangulizwa na baiskeli ya mbao, sasa wamefika kilimani watapandaje? J2 ni kichapo tu, ndio kwanza tumejiweka sawa ktk ligi, watani zetu man u wakae mkao wa kumegwa!!!!

Mkao wa kumegwa? Wakati tuliwatenda mbaya wiki chache zilizopita au tuna short memory span?
 
...mnaumwa nyie.Sisi namba mbili...LOL!
Komaeni na nafasi hiyo hadi Mei, si mnajua nambari wani imeshajaa?🙂
Hata hivyo chekini ushauri wa Manda ili kupunguza bp na vidonda vya tumbo.
 
Acheni kulisaka chama dume(The Blues)!

Bwawa la maini walitangulizwa na baiskeli ya mbao, sasa wamefika kilimani watapandaje? J2 ni kichapo tu, ndio kwanza tumejiweka sawa ktk ligi, watani zetu
man u wakae mkao wa kumegwa!!!![/QUOTE]

Nani aweza kuwamega? Hawa mashetani red hawamegeki!... zBlue wanalitambua hilo!
 
Season iliyopita nayo si mlikuwa number mbili au?

...ndo nini sasa maana yake?....We only have one way to go and that
is up.Season bado na chochote chaweza kutokea...ndio uzalendo wa ushabiki huo.
 
...ndo nini sasa maana yake?....We only have one way to go and that
is up.Season bado na chochote chaweza kutokea...ndio uzalendo wa ushabiki huo.

Maana yake season hii nayo mtakuwa wa pili tuu.
 
Acheni kulisaka chama dume(The Blues)!

Bwawa la maini walitangulizwa na baiskeli ya mbao, sasa wamefika kilimani watapandaje? J2 ni kichapo tu, ndio kwanza tumejiweka sawa ktk ligi, watani zetu
man u wakae mkao wa kumegwa!!!![/QUOTE]

Nani aweza kuwamega? Hawa mashetani red hawamegeki!... zBlue wanalitambua hilo!

Nadhani mojawapo wa vibonde wa mwaka huu katika wale the big 4 waliwamega kwa kuwapiga bao 2,,,,,tehetehe
 
Torres kaziona nyavu za Chelsea dakika ya 89, L'pool 1 Chelsea 0.
 
Anaziona tena nyavu za Chelsea dakika ya 93. Scolaris nadhani kibarua kimeota nyasi.
 
poleni sana mechi ijayo mtamkosa Lampard, nadhani mtaanza kutafuta nafasi ya pili sasa.
 
poleni sana mechi ijayo mtamkosa Lampard, nadhani mtaanza kutafuta nafasi ya pili sasa.

Thanx kwa wale wote waliotupatia pole, but ALUTA CONTINUA; tunaendelea kupambana kiume hadi tone la mwisho la damu yetu. Tunajua kuna watu hawapendi kuona mafanikio ya chama but The Blueswataendela ku-shine even if will take longer.
 
Lakini sio siri daraja limebomoka na watu wanapita si nyumbani wala ugenini, we are in the phase out stage and our days are numbered. Tutapate ubingwa bila ya kumfunga Man U, Liver au Arsenal wote hawa wametupa kichapo na heshima hakuna tena.

Mwalimu hakuna pale, ukamfundishe snake snake pasi Terry, Lampard, Barack at their age si kuwatesa jamani! maamuzi ya haraka yanahitajika ili heshima the Blues irudi, mtaa huku tunateseka si haba. yaani kuondoa lawama anamuingiza Drogba lalasalama na game imeshailemea upande mmoja.

Wapi Morinho, Makelele, Essien manake ukisha kuwa mteja wa mpira na unachezea kichapo katika big match sasa kuna raha gani! haya tia maji tia maji sijui hata kama nafasi ya pili tutapata. Streka wetu Anelka big match ndio haonekani kabisa kama yuko uwanjani wakati ndio tunamuhitaji zaidi kuliko tukiwa tunacheaza na Wigan, utavizia nini wakati jamaa wako makini mwanzo mwisho.
 
Bosingwa aomba radhi kwa makosa yake ktk kipute cha jana.

BOSINGWA APOLOGISES

José Bosingwa has reflected on events at Anfield where Chelsea lost on Sunday afternoon, including an incident in the closing moments involving our right-back and Yossi Benayoun.

Bosingwa's out-stretched leg pushed the Liverpool player over near the corner flag as the ball was being shielded, an action he regrets.

'I apologise for what I did and it was never my intention to hurt him. I know it was wrong and I apologise,' he says.

Bosingwa was one of 10 men in blue left on the pitch for the final half-hour after Frank Lampard's sending off and is disappointed with what became an uneven contest.

'It could have been very different with 11 players than with 10, it could have been easier,' he argues. 'But we never know.'

'It's always frustrating to lose big games and especially in this way. It was important to get points and not let Man United go. That didn't happen, so we are upset, but now we have to think about the next game.'

Naona kijana alikuwa ame-panic kinoma, ila pia ni-mbinafsi mno na anapenda chenga halafu hajui kupiga chenga.
 
Back
Top Bottom