Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Safari bado ni ndefu uwezo wa Scolari ni mdogokwenye CL.... kumbuka mimi ni Chelsea damu damu....

Bora wewe umenena Mkuu...sioni future nzuri kwa Babu wenu Scolari, ila kwa game ya jana ndio utagundua the difference btn DROGBA the 'striker' na ANELKA the 'forward'.....!

AB, usisingizie pepa, mbona in the aftermath of kichapo kwa Ze Goonarz hukuonekana?..tehe tehe tehe tehe!

The Clock is still tickling, time will tell....msikimbie na nyie Ma-Mods msitufungie!
 
Si kisingizio mkuu, baada ya kipigo cha Gunnerz nilikuwepo
humu lakini kwa mnyato maana mngenizomea kweli.

Meanwhile hatukimbii humu mkuu hata tukifungwa na mwenzio
sioni how mpaka ifikapo hio siku.

Invii...upo?
 
Niliwaambiwa ingawa ANELKA yuko hot but DROGBA is special
 
Si kisingizio mkuu, baada ya kipigo cha Gunnerz nilikuwepo
humu lakini kwa mnyato maana mngenizomea kweli.

Meanwhile hatukimbii humu mkuu hata tukifungwa na mwenzio
sioni how mpaka ifikapo hio siku.

Invii...upo?

Mkuu nyie sio nguvu za soda? Tusubiri tuone...
Invii akiona mambo mabaya anajifanya yupo around lakini busy 🙂.
BTW: Hongereni kwa kujikakamua, ila naungana na Manda kwamba Big Phil hana muda mrefu nanyi.
 
Nguvu za soda sio?...haya basi tutaona hapo mbele.
BTW the presence of Drogba in that squad is both
essential and crucial...bora asiwe na antics zake.

Swala la Scolari nami nakubaliana nalo na wafanye haraka
wamuondoe ama hilo soka haliendi mbali.
 
Chelsea we need back Avran Grant for the home games....huyu Scolari simwelewi kumwacha Drogba Bench na kumchezesha Ballack amabaye kiwango chake kimeshuka sana..tunashindwa wafunga hata Westham....nasubiri kutolewa CL kama mambo ni haya...
 
...😀, ilikuwaje kwani Ushirombo? mbona na mapeeeema hivyo? Drogba si bado ana 3match ban? BTW, si Liverpool, ManU, wala Arsenal aliyeambulia pointi zote tatu wikiendi hii,...calm down

ha haha,....
 
Drogs was legible to play ajabu kaanzia bench ban imekwisha, ni wakati wa Ballack kustaafu amepoteza pass nyingi sana leo...
 
Wadau

Drogba alikuwa Majeruhi lkn sasa amerudi na Scolari mwenyewe amesema anafikiria kwachezesha wote pale mbele yaaani Double striker na ni kitendo alichokifanya jana alipoingia Drogba Magoli. Tusubiri tuone mambo kwani Muziki wake si Mchezo. Ballack siujui kazeeka jana kapoteza pasi nyingi sana.
 
Kuna mtu amening'ata sikio kuwa this seeason ni 'kurogana' tuu, haiwezekani in the 2nd week big four zote zinatoka droo at ago!.., hawa wameenda Handeni, awa Bwagamoyo, wale Tunduru..sijui Manutd wamekwenda wapi?....

Title race itakuwa tamu sana duru la pili...i cant waiiiitt!!
 
Jukwaa lenu lilivyo poa ni ishara kuwa KIAMA kimeshawadia, mnajua kweli DROO ya last 16 CL imeshachezwa?

Inaniuma sana kuona ndugu zangu wa Darajani mnatoka Troophless tena msimu huu.., can't wait kuona Ranieri anavyo wanyoa bila maji!
 
...😀😀😀 'hillarious!' ...na kweli!... yaani hawaja comment lolote maskini, labda bado wamo kwenye mshituko!
 
Jukwaa lenu lilivyo poa ni ishara kuwa KIAMA kimeshawadia, mnajua kweli DROO ya last 16 CL imeshachezwa?

Inaniuma sana kuona ndugu zangu wa Darajani mnatoka Troophless tena msimu huu.., can't wait kuona Ranieri anavyo wanyoa bila maji!

Manda,

wewe na mwenzio naona mnaleta vitisho humu ndani.
Msione eti tumekimya mkadhani ni mshtuko au uoga..simba
mwenda pole ndiye nla nyama....
 
Simba mwenda pole atakuwa anaiogopa yanga au anaumwa.
 
...huenda huyo simba wenu msimu huu anaumwa meno, kama sio kibogoyo...😀😀😀
 
Hahahaha..mzalendo mwengine huyooo!

Haya basi usimuone simba kanyeshewa ukadhani paka!

Huyo simba aliyenyeshewa kama anakaa Northern Hemisphere basi atakuwa anaumwa ngiri ndio maana an inconstistency ya hali ya juu...hehehe
Weekend njema.
 
Safari imewadia na mtajuta kumtimua Mourinho
 
Duru lijalo ni mda muafaka wa kutembea na kuangalia mechi huku kikopo cha ANTI-BP pills kisiwe mbali sanaaaa.....esp. kwa nyinyi na 'wenzenu'..
 
Back
Top Bottom