AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
Lakini sio siri daraja limebomoka na watu wanapita si nyumbani wala ugenini, we are in the phase out stage and our days are numbered. Tutapate ubingwa bila ya kumfunga Man U, Liver au Arsenal wote hawa wametupa kichapo na heshima hakuna tena.
Mwalimu hakuna pale, ukamfundishe snake snake pasi Terry, Lampard, Barack at their age si kuwatesa jamani! maamuzi ya haraka yanahitajika ili heshima the Blues irudi, mtaa huku tunateseka si haba. yaani kuondoa lawama anamuingiza Drogba lalasalama na game imeshailemea upande mmoja.
Wapi Morinho, Makelele, Essien manake ukisha kuwa mteja wa mpira na unachezea kichapo katika big match sasa kuna raha gani! haya tia maji tia maji sijui hata kama nafasi ya pili tutapata. Streka wetu Anelka big match ndio haonekani kabisa kama yuko uwanjani wakati ndio tunamuhitaji zaidi kuliko tukiwa tunacheaza na Wigan, utavizia nini wakati jamaa wako makini mwanzo mwisho.
Unachosema ni cha kweli ndugu yangu ni cha kweli yaani Chelsea ya Scolari ni matatizo matupu hasa big match, yaani tumegangamala hadi dakika za mwisho ndio tunapigwa tena 2 goals ndani ya dkk 4? But we have to look forward.