Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

...dah, hata mzozo wa mizozo naye kaibuka! ...can't wait til tuesday Mascherano, Alonso na Gerrard watapokutana tena pale kwenye midfield halafu muone zile lobs zilizowatoa aibu Man U...

BTW, pengo la JT ataliziba nani vile?, msithubutu kumweka Obi Mikel! 😀
Mikel ataanzia benchi mwenye namba yake Essien amerudi, hata akirudi Masch hawana ubavu wa kuwatoa Carvalho atarudi kum-replace JT
Hidink ameshamzidi Benitez tactics
 
Mikel ataanzia benchi mwenye namba yake Essien amerudi, hata akirudi Masch hawana ubavu wa kuwatoa Carvalho atarudi kum-replace JT
Hidink ameshamzidi Benitez tactics

...huyo Carvalho akicheza Jumanne kama alivyocheza leo, Chelsea mtaandika maumivu!!!
 
Hawa Chelsea walinishtua mno tulikuwa tunacheki game zote 3 kwa zamu tulicheki game yao tukaona Drogba anafunga goli la 4 watu wakasema basi jamaa washapata ushindi tuwekee game ya Man tulivyokuja kucheki jamaa wamerudisha goli 3
Kumbe Liverpool wakikomaa inawezekana
 
Goooooo Ze Bluuuuzz!, tuko pamoja kesho wakuu!
 
Hawa Chelsea walinishtua mno tulikuwa tunacheki game zote 3 kwa zamu tulicheki game yao tukaona Drogba anafunga goli la 4 watu wakasema basi jamaa washapata ushindi tuwekee game ya Man tulivyokuja kucheki jamaa wamerudisha goli 3
Kumbe Liverpool wakikomaa inawezekana

Belo;

Ni kweli lolote ktk mpira linawezekana, hata Ze Blues wakikomaa tutaibuka tena kuwa vidume wa mbegu dhidi ya bwawa la maini.

Jambo jengine yule kijana aliesababisha uzembe jumamosi amesema hawatorudia makosa ya mechi iliyopita!!! Angalia nukuu hpo chini: -

Defender Ricardo Carvalho admits Chelsea's mistakes against Bolton Wanderers at the weekend will serve as a timely reminder to stay fully focused against Liverpool in the Champions League on Tuesday night.

The Blues shipped three goals in eight second-half minutes at Stamford Bridge against the Trotters, winning the game 4-3, and Liverpool must also score at least three goals if they are to overturn a 3-1 deficit from the quarter-final first leg.

But Carvalho - who will line up alongside Alex in the heart of the Chelsea defense in the absence of suspended captain John Terry - insists there will not be a repeat of the Bolton collapse on Tuesday.

"We have to learn from those mistakes and it is good to play three days after that game," said Carvalho. "We conceded too many when normally we are strong in our back four."

The Portugal international insists Liverpool should not be taken lightly despite the two-goal cushion.

"We have to be aware, this competition means a lot for us so we want to go through," said Carvalho. "We have to think first of ourselves and after look for them, but if you are in good shape you can win the game and go through.

"We are improving always, we had some problems in the previous months but I think you become stronger and now we are in good shape to win a competition for the club.

"I won in 2004 [with Porto] but lost last year, but to win the trophy you have to be there in the final."

Trailing 3-1 from the first leg, and yet to beat an English club away from home in Europe, much will depend on whether Liverpool's midfield talisman Steven Gerrard shakes off a groin problem to play.

But even though the Reds have not scored three goals at Stamford Bridge in two decades, Benitez would have taken heart from Bolton's performance.

But it was also the perfect wake-up call for Guus Hiddink and his squad, and the Dutch coach is determined they will not sit back and defend their lead.

"It cannot be a cautious game where you have a kind of balance in a game where nothing happens for an hour, then maybe a team takes some risks at the end," said Hiddink.

"That's not in both teams' souls. We have to go for the win at home.

"Going 4-0 up against Bolton and then conceding as we did, was like an alarm clock ringing for this up-coming game.

"We should have controlled the last part of the game. We can concede one, at 4-1, but one alarm bell is enough.

"We've prepared very seriously. A lot of people have said, if you win an away game in Europe like we did, then you won't have any concerns for the second game.

"But we're not thinking like that. Liverpool are a very good team who play beautiful football, and we're very aware of that.

"There is no such reason, whatever the team you are playing against but especially Liverpool with what they did in the past, to have complacency."


Kila la Kheri vijana wa Ze Blues, Aluta Continua
 
Nimeipenda hiyo spirit yenu ila kidogo nidhani ninawatch netball mana duh sikutegemea wafike huko kwenye 4-4!!
 
Hii biashara ya kuruhusu goli nyingi hmmm kwa Barca kutakuwa na shughuli.
Hongereni watani!
 
Chelsea lazima tuwe concerned kuruhusu goli saba mechi mbili!
 
Alex-Chelsea-Liverpool-Champions-League-Quart_2161924.jpg


Brazilian defender Alex smashes home a free-kick from 25-yards in the 57th minute


Alex-Chelsea-Liverpool-Champions-League-Quart_2161945.jpg


Frank-Lampard-Chelsea-Liverpool-Champions-Lea_2162011.jpg


Frank Lampard nets in the 76th minute to make it 3-2 on the night.


Fernando-Torres-Chelsea-Liverpool-Champions-L_2162013.jpg


 
Heheh mganga mliempata safari hii kiboko.

...hahaha.Kumbe nawe umeona vile kamati ya ufundi ilivyotulia?
Hebu vukeni nanyi kisha tuonanane, ilimradi tulipize kisasi cha mwaka jana.
 
Hongereni The Blues but huyo kipa wenu siku hizi amekuwa shati ,muangalie sana na hiyo defence imekuwa nyanya mno
 
Hongereni The Blues but huyo kipa wenu siku hizi amekuwa shati ,muangalie sana na hiyo defence imekuwa nyanya mno

...hahaha.Kumbe nawe umeona vile kamati ya ufundi ilivyotulia?
Hebu vukeni nanyi kisha tuonanane, ilimradi tulipize kisasi cha mwaka jana.

Ni kweli nao wavuke tulipe kisasi; bado tunauchungu nao sana hawa watanizetu


Belo
Re: The Chelsea FC Thread: 2008/09
Hongereni The Blues but huyo kipa wenu siku hizi amekuwa shati ,muangalie sana na hiyo defence imekuwa nyanya mno.

Mzee mzima (Cech) anaonekana amechoka kimtindo; unajua hajapata mapumziko muda mrefu. Kuna haja pia kuifanyia msasa wa nguvu defence system, mabeki wanakatika vibaya sana na mara nyingi mechi zenye pressure ndio kabisa.

BTW, tunawapongeza vijana kwa kazi nzuri ya kutuvusha kuingia semi final; spirit iongezeke zaidi hadi tuchukue japo vikombe viwili kama c vi3
 
Niliwaambia ubingwa msimu huu unaenda Fulham Street.Mechi ya Fainali msimu huu ni Chelsea v Villareal.mnaikumbuka hii record lakini?
It is that every year since Real Madrid won the Champions League in 2002, the team that knocked them out has fallen to the eventual winners of the Champions League.
2003 Juventus beat Real (semi final), AC Milan beat Juventus in the final
2004 Monaco beat Real (Quarter final), Porto Beat Monaco
2005 Juventus beat Real (round of 16), Liverpool beat Juve
2006 Arsenal beat Real (round of 16), Barcelona beat Arsenal
2007 B Munich beat Real (round of 16), AC Milan beat Bayern
2008 Roma beat Real (round of 16), Man utd beat Roma
2009 Liverpool beat Real (round of 16), Chelsea beat Liverpool in quarter final.
Mpaka sasa bado bingwa hamjamuona?
 
Daah hongera kweli twastahili lakin daah pressure kama hizi inabidi mtu uwe unasubiria tu matokeo kwa sms...
 
Back
Top Bottom