Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi hii itakuwa safi,Chelsea lazima wa work hard,Barcelona si mchezo, kina Messi,Chavi,Henry na Etto vs Drogba,Lampard,Maluda,Anelka,Essien,Kalou na Ballack,kweli ni enterntainment safi sana...Hivi sasa game ndo kwanza dk ya 14 na Barcelona wanaonekana kutawala mchezo kwa kiasi kikubwa,tusubiri tuone kama blues watafanya mambo....Kila la Kheri Blues..
Mkuu Mushi, hiyo ball possession ya 65-35 inanitisha
Chelsea naona bado wanaendelea kuwasoma kwasabab kama wanakuwa wanadefend tuu.Tusubiri tuone,lakini wafahamu kuwa kina Messi,Henry na Etoo hawakosi mara nyingi,watakaosa lakini si mara nyingi,kwa kuanza na Mikel Obi utagunduwa kuwa Chelsea wamenza kwa kujihami.
wakuu tangazeni kama dominck chilambo au omary jongo enzi zao rtd......tunawategemea kwa updateMushi, huyu messi naona anaweza kuwaliza leo the Bluez
Mushi, huyu messi naona anaweza kuwaliza leo the Bluez
mbona kimya?