Chelsea wamelinda reasonably, ila mambo yatabadirika kama Barca wakifunga maana wasipofunga Chelsea hawana sababu ya kuplay more openly.
Ze Bluez wakitaka kushinda wacheze kama Man U walivyocheza na hawa waungwana last season.
Definately!
Arsenal hata wakienda ugenini hawachezi formation 'mbofu-mbofu' kama ya Chelsea; 9-1-0!!! π‘
Mie uwa sipotei kama Invisible na Ab-Tichaz na the rest of the gang(blues fans)...tutabanana hapa hapa, kumbuka Chelsea's future is our past ni kama wanatembea kwenye footprints zetu.
Chelsea wizi mtupu, haiwezekani timu ambayo mchezaji wa bei ya chini ni pauni 15 mil (Mike Obi) icheze vile kama Hull City, hii ni dhuluma kwa fedha ya watazamaji. Mshambualiaji mmoja na wengine wote kuzuia, this is not fair especially for neutrals. Najuta kuangalia game ya jana!
Jamani kwani ni lazima banaaaaa!!!!..Tukifunga magoli mengi mara eti
sijui gemu inaboa utadhani netboli, tukitoa draw ndani ya homeground ya
Barca bado lawama zipo palepale eti sijui mumeibiwa hela zenu.Kwa hivyo
tungefungwa ndo ingekua poa sio?
Jamani nimeamini watu wana roho mbaya,Chelsea tumejitahidi kucheza vizuri,ila watu maneno,sijui formation ilikuwa mbaya,sijui hela nyingi kwenye usajili.mechi ilikuwa ngumu na Chelsea kaonesha uwezo mkubwa kuwazuia wale jamaa....
But for a team that this season has scored four goals in a game six times, five goals five times and six goals four times, the hosts were unable to broker many genuine chances.
Mechi ijayo hatutatumia hiyo 9-1-0,coz A.Cole yupo na Carvalho watakuwepo.Beki itakamilika,na tutakuwa na winger wa kulia,hakika nawaambia mechi itakuwa ngumu mno ila tukutane Rome fainali kwa sababu lazima hawa washenzi tuwaondoe.
leo Arsenal anashinda kila la kheri mashabiki wa the gunners.
kama unahisi uliibiwa ungetoka tu km ulikuwa ukumbini; km ni home kwako ungezima TV yako ukalala buheri wa afya.
Wote nyinyi ndio wale wachawi wetu, mlikuwa mnakesha kuomba tupoteze game ya jana but Mungu hakuwa upande wenu. Ole wenu tukiingia fainali haturudii makosa yale ya mwaka jana
Stats za jana umneziona?
Barca Possession 63%
Chelsea Possession 36%
Barca Goal Attempts 4
Chelsea Goal Attempts 1
Barca Shot wide 16
Chelsea Shot wide 2
halafu bado mnajisifia mliwashika pabaya,...π‘ bora ningeenda kuangalia bao au draft kijiweni!
...
Acheni ujinga na ushabiki...we're in prone position to f.u.c.k them out of CL
Hapiti mtu wala mpira .....Thank U Thank you!
Sio roho mbaya mdau, semi final ya CL inamanisha the best 4 in Europe kwa ile season, watu wanategemea kuona flamboyant football, inashangaza sana kwa timu ya calibre ya Chelski kucheza vile. Sijui darajani utachezaje ila ninavyojua ni kwamba lazima ushambulie ili upate ushindi unless kama unataka nili nil tena ili mwenye bahati ashinde kwa penati. Naona ndoto ya Abramovich bado haijatimia, sababu mojawapo iliyomfanya akashindwa kuelewana na JM ni hiyo soka ya kiroboti. Kazi kwenu, burudani ipo usiku wa leo, Wenger kasema atashamblia na Mzee Fergie kasema mashambulizi kama kawa, at least kwa neutral leo watafurahi, ila jana it was terrible!!!!!
Stats za jana umneziona?
Barca Possession 63%
Chelsea Possession 36%
Barca Goal Attempts 4
Chelsea Goal Attempts 1
Barca Shot wide 16
Chelsea Shot wide 2
halafu bado mnajisifia mliwashika pabaya,...π‘ bora ningeenda kuangalia bao au draft kijiweni!
For many years have not see fabulous and discipline defensive display shown by the might Chelsea, it is the first team this season to keep Barca at bay.....Thank you Chelsea....kucheza soccer zuri bila ushindi waachieni Arsenal..
Barca are great at home fact!!!
They have scored in every game till last night fact!!!
No english team has gone to Barca and dominated, mine included, fact!!!
Acheni ujinga na ushabiki...we're in prone position to f.u.c.k them out of CL
Hapiti mtu wala mpira .....Thank U Thank you!
Nini Possession 63% kwa 36.wangefikisha 95 kwa 5 kabisa,
halafu zikawasidia nini kwenye mechi ya jana?hukwenda kuangalia bao ukitegemea unaenda kuangalia Messi akifunga Magoli,waambie na wenzako hao ndio the Bluees.Next week mtakuwa kimyaaaaa!
...95% kwa 5% kwani penati hizo? π
...halafu nyie washabiki wa Ze Bluz mbona mna jazaba sana, hamtaniwi? mmekuwa kama Michael Ballack, no sense of humor at all! ...Yuk!
Ndio shida yenu hii team mnazobahatisha!
Mbu najua kusingekuwa na mashindano ya FA mwaka huu basi wewe ungekuwa unatusupport kwa 100% ila nina wasiwasi na hasira zako kwa mechi ya jana zina jazba ya semi final ya FA.hata ndugu yenu K.Toure kasema anatamani Chelsea watolewe kisa tuliwafunga FA semi final.
Mimi naamini Man utd mnamgonga nje ndani.
...95% kwa 5% kwani penati hizo? π
...halafu nyie washabiki wa Ze Bluz mbona mna jazaba sana, hamtaniwi? mmekuwa kama Michael Ballack, no sense of humor at all! ...Yuk!
Ndio shida yenu hii team mnazobahatisha!
Mbu najua kusingekuwa na mashindano ya FA mwaka huu basi wewe ungekuwa unatusupport kwa 100% ila nina wasiwasi na hasira zako kwa mechi ya jana zina jazba ya semi final ya FA.hata ndugu yenu K.Toure kasema anatamani Chelsea watolewe kisa tuliwafunga FA semi final.
Mimi naamini Man utd mnamgonga nje ndani
Tatizo lenu mlitegemea Chelsea tutafungwa nyingi,oooh sijui mpira haukuwa flamboyant football,sijui inashangaza....MWANDIKO MZURI WA NINI DARASANI WAKATI UNAFELI?..na kwa taarifa yenu hawa jamaa tusipowazuia sisi ndio mabingwa msimu huu,si Arsenal wala Man utd mwenye ngome ya kuwazuia Messi,Henry na Eto.tutakachowafnyia Stamford mechi ijayo ndio dunia nzima mtaona aibu majungu yenu.