kisale
Senior Member
- Mar 3, 2009
- 111
- 1
Chelsea wamelinda reasonably, ila mambo yatabadirika kama Barca wakifunga maana wasipofunga Chelsea hawana sababu ya kuplay more openly.
Ze Bluez wakitaka kushinda wacheze kama Man U walivyocheza na hawa waungwana last season.
Na Man akitaka kushinda leo acheze kama Chelsea alivyocheza FA semi final na Arsenal.