I am optimistic tutadefend na kuwashambulia, we might got them in the middle...Guus hatakuwa mjinga afate tune ya Barca....My prediction remain...Henry hatocheza dak 90 hata Messi
Chelsea 2 Barca 1.....God bless Chelsea
Mnaongea sana hapa...Good luck kwa timu zote mbili. Maana wote waliexperience maumivu kutoka kwetu last season lol na mshindi wa leo lazima atupe tena kombe letu.
BJ, naona tugange yajayo. Jana nilikubali yaishe si unajua asiyekubali kushindwa....but it was my worst night believe me.
Leo natumaini lazima ball possession tufikishe 70%. Magoli yatafungwa na Niesta na Beki mmoja wa Baca kwenye set pieces, kwa sababu The Bluez watakuwa wakiangalia the trio wakicheza samba na kujisahahu.
Kila siku si Ijumaa shekhe!
Shadow!
It was a touching one for sure maana taste ya gemu iliisha baada ya mawili ya kwanza. Anyway,ni kusonga mbele historia imeshachukua mkondo wake sasa!..Its good umekubali kushindwa!..
Macho yangu kwa Messi ila leo chelsea wakishinda nitacheza bluez muda huo huo..ha ha
Na Baca ikishinda lazima samba au lambada lichezwe leo. Ebu anza haya mazoezi kwa kufuatisha hii midundo ya lambada:YouTube - Kaoma - Lambada Ukiona watu wanakupiga chambo kwenye mazoezi yako amia bafuni.
WanaJF
Leo kuanzia saa 1945 GMT, tunategemea kuona mpambano wa Chelsea na Barcelona.
Timu hizi zina style tofauti za uchezaji, chelsea wanadefense ngumu sana ulaya na wako physical team...Barcelona ni timu inayocheza mpira wa kufungua na wanastrikers wakali kama Inesta, Henry, Messi, Etoo..
Ninaamini utakuwa mchezo mzuri!!!Enjoy
BELINDA,
Leo ni leo, yajana weka kando.
CHELSEA wataibuka washindi.
BELINDA,
Leo ni leo, yajana weka kando.
CHELSEA wataibuka washindi.
Kwa uchokozi sikuwezi, yote hii ni kuhakikisha Invisible na Masanilo wanakuwa roho juu...WanaJF
Leo kuanzia saa 1945 GMT, tunategemea kuona mpambano wa Chelsea na Barcelona.
Timu hizi zina style tofauti za uchezaji, chelsea wanadefense ngumu sana ulaya na wako physical team...Barcelona ni timu inayocheza mpira wa kufungua na wanastrikers wakali kama Inesta, Henry, Messi, Etoo..
Je Terry ataweza wazuia? Je Mesii atawatesa? ninamanini utakuwa mchezo mzuri na tutakuwa tuna waupdate....Niko na Masa hapa mabegani kwake nasikia moyo wake...
Ninaamini utakuwa mchezo mzuri!!!Enjoy
Mpwa,Shadow nitakufungulia thread....ninamwomba Invisible watuwekee option badala ya kutoa thanks iwepo ya mtu akiharibu...nijaze kwenye post zako hahahahaah
Shadow nitakufungulia thread....ninamwomba Invisible watuwekee option badala ya kutoa thanks iwepo ya mtu akiharibu...nijaze kwenye post zako hahahahaah
Mpwa,
Mi tumbo nasikia linacheza! Itakuwa ni ushindi mkubwa kwa Chelsea au ndo tuseme..........!?