Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

I am optimistic tutadefend na kuwashambulia, we might got them in the middle...Guus hatakuwa mjinga afate tune ya Barca....My prediction remain...Henry hatocheza dak 90 hata Messi

Chelsea 2 Barca 1.....God bless Chelsea

Masanilo, unajua lazima Guus atashikwa na hamu ya kwenda kutafuta goli la mapema hapo ndo Kiama kitakapoanzia. Baca wakipata Goli la mapema baaasi plan yote ya Guus inakufa kwani anakuwa hana jinsi bali kutafuta magoli. Leo Patamu sana hapo Darajani.

Baca Oyeeeeeeeeeeee!
 
Mnaongea sana hapa...Good luck kwa timu zote mbili. Maana wote waliexperience maumivu kutoka kwetu last season lol na mshindi wa leo lazima atupe tena kombe letu.
 
Mnaongea sana hapa...Good luck kwa timu zote mbili. Maana wote waliexperience maumivu kutoka kwetu last season lol na mshindi wa leo lazima atupe tena kombe letu.

Kila siku si Ijumaa shekhe!
 
BJ, naona tugange yajayo. Jana nilikubali yaishe si unajua asiyekubali kushindwa....but it was my worst night believe me.

Leo natumaini lazima ball possession tufikishe 70%. Magoli yatafungwa na Niesta na Beki mmoja wa Baca kwenye set pieces, kwa sababu The Bluez watakuwa wakiangalia the trio wakicheza samba na kujisahahu.

Shadow!

It was a touching one for sure maana taste ya gemu iliisha baada ya mawili ya kwanza. Anyway,ni kusonga mbele historia imeshachukua mkondo wake sasa!..Its good umekubali kushindwa!..

Macho yangu kwa Messi ila leo chelsea wakishinda nitacheza bluez muda huo huo..ha ha
 
Kila siku si Ijumaa shekhe!
chelsea-barca-war-TOP.jpg
 
Shadow!

It was a touching one for sure maana taste ya gemu iliisha baada ya mawili ya kwanza. Anyway,ni kusonga mbele historia imeshachukua mkondo wake sasa!..Its good umekubali kushindwa!..

Macho yangu kwa Messi ila leo chelsea wakishinda nitacheza bluez muda huo huo..ha ha

Na Baca ikishinda lazima samba au lambada lichezwe leo. Ebu anza haya mazoezi kwa kufuatisha hii midundo ya lambada:[ame="http://www.youtube.com/watch?v=5AfTl5Vg73A"]YouTube - Kaoma - Lambada[/ame] Ukiona watu wanakupiga chambo kwenye mazoezi yako amia bafuni.

Ukishindwa hapo unaruka na Macarena:[ame="http://www.youtube.com/watch?v=4NZjHKfbbiQ&feature=related"]YouTube - Macarena[/ame]
 
Last edited:
Na Baca ikishinda lazima samba au lambada lichezwe leo. Ebu anza haya mazoezi kwa kufuatisha hii midundo ya lambada:YouTube - Kaoma - Lambada Ukiona watu wanakupiga chambo kwenye mazoezi yako amia bafuni.

Shadow!
Asante kwa hiyo Lambada, nifanye kabisa mazoezi sasahivi maana niende na bits baadae..
Thanx man!..Enjoy the match baadae
 
WanaJF

Leo kuanzia saa 1945 GMT, tunategemea kuona mpambano wa Chelsea na Barcelona.
Timu hizi zina style tofauti za uchezaji, chelsea wanadefense ngumu sana ulaya na wako physical team...Barcelona ni timu inayocheza mpira wa kufungua na wanastrikers wakali kama Inesta, Henry, Messi, Etoo..
Je Terry ataweza wazuia? Je Mesii atawatesa? ninamanini utakuwa mchezo mzuri na tutakuwa tuna waupdate....Niko na Masa hapa mabegani kwake nasikia moyo wake...

Ninaamini utakuwa mchezo mzuri!!!Enjoy
 
mchezo mzuri sana sana...lets wait for mchezo mtamu sana leoo.....
 
Leo ni Blues kuchezeshwa lambada kama siyo kwata au 'macarena' teh teh teh
Barca Oyeeeeeeeeeeeeeee!
 
WanaJF

Leo kuanzia saa 1945 GMT, tunategemea kuona mpambano wa Chelsea na Barcelona.
Timu hizi zina style tofauti za uchezaji, chelsea wanadefense ngumu sana ulaya na wako physical team...Barcelona ni timu inayocheza mpira wa kufungua na wanastrikers wakali kama Inesta, Henry, Messi, Etoo..

Ninaamini utakuwa mchezo mzuri!!!Enjoy

BELINDA,
Leo ni leo, yajana weka kando.

CHELSEA wataibuka washindi.
 
Hureeeeeeee Legend Messi; Masa Hupo ebu BJ Jipimie hapa

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=KZnUr8lcqjo]YouTube - The Legend of Lionel Messi[/ame]
 
Shadow nitakufungulia thread....ninamwomba Invisible watuwekee option badala ya kutoa thanks iwepo ya mtu akiharibu...nijaze kwenye post zako hahahahaah
 
WanaJF

Leo kuanzia saa 1945 GMT, tunategemea kuona mpambano wa Chelsea na Barcelona.
Timu hizi zina style tofauti za uchezaji, chelsea wanadefense ngumu sana ulaya na wako physical team...Barcelona ni timu inayocheza mpira wa kufungua na wanastrikers wakali kama Inesta, Henry, Messi, Etoo..
Je Terry ataweza wazuia? Je Mesii atawatesa? ninamanini utakuwa mchezo mzuri na tutakuwa tuna waupdate....Niko na Masa hapa mabegani kwake nasikia moyo wake...

Ninaamini utakuwa mchezo mzuri!!!Enjoy
Kwa uchokozi sikuwezi, yote hii ni kuhakikisha Invisible na Masanilo wanakuwa roho juu...

Leo nilishakuahidi kuwa 1st half naweza kuwa mgonjwa hivyo itategemea na dawa nilizomeza 🙂
 
Shadow nitakufungulia thread....ninamwomba Invisible watuwekee option badala ya kutoa thanks iwepo ya mtu akiharibu...nijaze kwenye post zako hahahahaah
Mpwa,

Mi tumbo nasikia linacheza! Itakuwa ni ushindi mkubwa kwa Chelsea au ndo tuseme..........!?
 
Bellies you cant stop amazing me....nifanyaje....Love you more!
 
Shadow nitakufungulia thread....ninamwomba Invisible watuwekee option badala ya kutoa thanks iwepo ya mtu akiharibu...nijaze kwenye post zako hahahahaah

ahahahahahah Masanilo see you at 0230ET. Invincible na the gooners jana tumekubali yaishe. Ile leo ndo leo. Henry = Baca = The Gooners lol
 
Mpwa,

Mi tumbo nasikia linacheza! Itakuwa ni ushindi mkubwa kwa Chelsea au ndo tuseme..........!?

Ndugu yangu mimi sina wasi wasi sana kama game la kwanza....anyway chochote kinaweza tokea ...nina homa za vipindi naweza nisingalie pia kipindi cha pili
 
Back
Top Bottom