Ndugu yangu mimi sina wasi wasi sana kama game la kwanza....anyway chochote kinaweza tokea ...nina homa za vipindi naweza nisingalie pia kipindi cha pili
Kwa uchokozi sikuwezi, yote hii ni kuhakikisha Invisible na Masanilo wanakuwa roho juu...
Leo nilishakuahidi kuwa 1st half naweza kuwa mgonjwa hivyo itategemea na dawa nilizomeza 🙂
Mpwa,
Mi tumbo nasikia linacheza! Itakuwa ni ushindi mkubwa kwa Chelsea au ndo tuseme..........!?
Mkuu hata Man U sidhani kama mnaombea kukutana na hawa Barca, ni gharika kukutana na mijamaa hii. Lkn mpira huwa ni wa ajabu, unaweza kukuta tunamaliza gemu tukiwa meno nje teh teh teh.Mkuu nakumbuka last season kipindi kama hiki tunakiputa na Barca, nilikuwa sina amani especially baada ya Ronaldo kukosa penalty ndani ya Nou Camp.
Mkitaka kushinda baneni tuu kama tulivyofanya ila msiogope kushambulia mnaweza kuambulia goli moja dakika za mwanzo mwanzo alafu mkalinda mpaka mwisho wa gemu.
Mkuu nakumbuka last season kipindi kama hiki tunakiputa na Barca, nilikuwa sina amani especially baada ya Ronaldo kukosa penalty ndani ya Nou Camp.
Mkitaka kushinda baneni tuu kama tulivyofanya ila msiogope kushambulia mnaweza kuambulia goli moja dakika za mwanzo mwanzo alafu mkalinda mpaka mwisho wa gemu.
Exaud imekuwaje leo hujatumia herufi kubwa?
Chelsea 2 Barca 1
BELINDA,
Leo ni leo, yajana weka kando.
CHELSEA wataibuka washindi.
Leo ni Blues kuchezeshwa lambada kama siyo kwata au 'macarena' teh teh teh
Barca Oyeeeeeeeeeeeeeee!
Icadon,
wewe wape nondoz lakini mpira unadunda pamoja na hizo mbinu unazowapa. wewe unafikiri mpaka sasa Baca nao hawajasoma namna ya kufumua huo ukuta. Subiri hapo darajani lazima el nino na la nina vishuke. Muulizeni binamu yenu Real Madrid.
Shadow!
Utabiri wa jana ulikuwa rahisi kidogo ila leo mmh!..
Lambada itachezwa kama siyo bluez..huh!
Usijiongezee presha za jana Exaud!..ha ha
MASILANO.
LEO NINA RAHA SANA BAADA YA KUUMIA JANA.
BELINDA na ICADON Walinishawishi NIKAWA MGUMU.
Leo najisalimisha mapema.
Timu yangu halisi ni chelsea na watashinda.
SHADOW,BELINDA,ICADON,MBU.TUSKER,INVISIBLE,KANA KA NSUNGU..... mpo??????????????????????????????????????????????
Kwa uchokozi sikuwezi, yote hii ni kuhakikisha Invisible na Masanilo wanakuwa roho juu...
Leo nilishakuahidi kuwa 1st half naweza kuwa mgonjwa hivyo itategemea na dawa nilizomeza 🙂
Hapo vipi?Chelsea coach Guus Hiddink insists his side will not be running scared when they play Barcelona in the second leg of their Champions League semi-final
Hehehe, mkuu naona leo mifrustration yako yote unataka iishie kwa Chelsea lol, Ze Bluez wacheze kama Sunderland walivyocheza na Arsenal tuu lazima Barca wawe frustrated sasa hapo ndio unapowalima kimoja tuu.
Mie nilikwambia angalia dakika 90 kwanza ndio uchague timu mwishoni lakini ukawa mbishi. Pole lakini.
Hapo vipi?
Mkuu Icadon, kwanza Ongera sana jana profesa hakuweza ata kudesa kwa mtafuna big G. Sikutegemea SAF atakuja na style ya kujaza viungo.
Pili najua unataka ukutane na the Bluez ili ndoto yako itimie ya kuretain kombe. Unajua kabisa kwamba kama ukikutana na Baca ni kiama.
Baca Oyeeeeeeeeez Henry hureeeeeeeeee
Bellies you cant stop amazing me....nifanyaje....Love you more!